teh teh teh! bei gani
rubii mambo vipi mpendwa
salama tu, habari za jumapili?
Za jumapili nzuri tu mpendwa...Naona mpendwa anauliza bei ya kwenda marekani.
Mtu kauliza nyie mnaleta salam zenu hapa! Nyie wawap nyie?
Mtu kauliza nyie mnaleta salam zenu hapa! Nyie wawap nyie?
Anatuchora tu huyo! bei ya kwenda marekani MMU?
Haya wee usiye na salaam vp mbona majibu hujato????
Jamani eti ni bei gani kwenda marekani na kurudi bongo na bei ya visa
Jamani eti ni bei gani kwenda marekani na kurudi bongo na bei ya visa
Mtu kauliza nyie mnaleta salam zenu hapa! Nyie wawap nyie?
Kwenda marekani ni milioni 10 kwa nauli ya kwenda na kurudi... Kwa vile we ni rafiki yangu nitakufanyia millioni 8