Bei ya kushona suti za kiume

Bei ya kushona suti za kiume

Hi wanaJF na wanafashion designers,
Naomba msaada wenu kwa mafundi wa suti Dar. Nataka kushona suti nzuri kabisa Kwa event ambayo nitahudhuria October 2025.
Bei take ni kiasi gani nikiwa na kitambaa. Asanteni kwa mchango wenu.
Alamsiki
Hamna hamna andaa laki mbili na nusu na Elfu 30 ya kwenda kumcheki fundi mara kwa Mara hiyo 20 ni vocha ya kumpigia fundi mara kwa mara,300k inatosha kabisa kwa suti Kali
 
Ngoja wajuzi waje ila pia unaweza kununua ya duka Iabda ni kujua bei tu
 
Back
Top Bottom