Bei ya korosho zilizobanguliwa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,425

Hii ni pack ya robo kilo au 250gm ni £2.75 Tesco Supemarket




Sainsbury’s pack ya nusu kilo au 500mg ni £7.00

Wazee wa fursa kwa jina la healthy food Holland and Barrett 200gm ni £3.99



Waitrose Supermakert kilo moja ni £14.67
 
Kwa U.K hizo ni bei za kawaida sana, Bongo kwenyewe bei yake si mchezo, licha ya umasikini uliopo na zinalimwa huku
 


Hiyo robo ni kama elfu nane, ni kujiongeza kuprocess vitu kuuza processed product.

Kuacha ujinga kuamini hatuwezi kufanya hiki na kile, hivi Korea wametupita nini, tatizo ni akili, mawazo yetu.

Ukipata masoko kama Tesco, Sainbury, Asda, Aldi nchi moja unapata pesa za kutosha, ukiongeza kama Germany, France, USA, China . Vitu vinakaaa sawa.
 
Sisi tumekalia kushangilia Wahindi Dewji's kuwaimbia mapambio kuwaita Mabilionea, tunawapigania kufa na kupona huku wao wakibasamu na kutuona takataka kumbe wanatajirikia kupitia mgongo wetu!

Haya negroes ule wimbo wetu, imbeni tena kwa sauti ya juu kabisa,

Bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…