Bei ya kitimoto yashuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya kitimoto yashuka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elli, Aug 18, 2010.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  habari njema kwa sisi watumiaji wa ile dawa ya tumbo.....bei yake imepungua hadi kufikia 3900 per Kg... najaribu kufanya sababu zilizopelekea bei kushuka kiasi hicho hasa katika kipindi hiki.
   
 2. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Watumiaji wengi wako likizo. Period.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  ......na pia idadi ya kitimoto imeongezeka, kwa hiyo kuna competition sokoni.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  kwani ilikuwa shs ngapi?
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Si unajua tena kuna mfungo? Kaaazi kwelikweli!
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ololololo...
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Ilikiwa tsh 5000
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu you must be craziest man i have ever come across. Post yako imenifurahisha sana, i almost busted my ribs.
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Si kweli. Wanyama wamepungua sana kwa wafugaji kutokana na kuongezeka kwa walaji visiwani. Sababu kuu ya kupanda bei ni kuwa watumiaji wake wakuu wamekwenda kwa Ramadhani, ni kipindi cha wale wenye cash pungufu kuenjoy maana jamaa wakitoka huko kwa Ramadhani watakuwa na usongo sana na ni lazima bei itafika tsh 6000.
   
 10. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  Sababu zipo wazi............
  1. Demand imeshuka........
  2. Walaji walioruhusiwa na imani zao huwa wanakula kidogo sana............ walaji wakubwa kisirisiri........huwa wanaikamata kwa kiasi kikubwa mno............... hivyo kupungua kwao you must imediately see yhe gap.
  3. Supply ya hiyo kitu imeshuka ili kumarch "current users"............. kama huamini ngoja siku ya Eid uone the opposite of it.........
  4. Hiyo kitu kwa sasa inauzwa sana kwenye mitaa iliyojificha.......maana bale bandugu huwa hawapendi kuonekana wala kuitwa majina yao halisi maeneno hayo............ Ndiyo maana huku kuliko wazi bei inashuka.....HASA BAADA YA SAA KUMI NA MBILI NA NUSU YA JIONI YA KILA SIKU YA MWEZI "MTUKUTU"


  3.
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Sababu si ndio hiyo hiyo iko wazi bwana wewe unataka kujua nini zaidi :becky:
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,998
  Likes Received: 3,174
  Trophy Points: 280
  Majambazi na vibaka pia wamepungua. What a coincedence!!
   
 13. R

  Ramos JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi imeniboa maana hapa pale kitimoto centre nilipokuwa napata mifupa ya mbwa siku hizi sipati. Kisa... wateja hamna, mifupa imepungua hivyo yote anachukua mama mwenye kijiwe...
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Ramosan
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Njoo kigogo mabuchani 3500 wacha huko kg 3900 ......sasa na wale wa nyumba za wageni wanaolalamika sijui tutawasaidiaje??anyway naamini watavumilia pia
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..........kaaaazi kweeeeeli
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  naamini malaria sugu lazima atakuwa na cha kusema ikiwemo kutusaidia majibu hapa jamvini....................uko wapi malaria jamani????
   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  wavuta bangi na wapiga debe pia kweupeeeeeee..............wamefunga?????
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  mmh huyu anailia daku usiku unahisi ataonekana hapa??
   
 20. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  MS tunakufahamu mara nyingi jioni huwa tunapata hii kitu na wewe pale B BAR SINZA ila na kama siku tano hivi sijakuona unaipata wapi ndugu, JJ au?
   
Loading...