Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,563
- 5,371
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapView attachment 854061i?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni inchi ngapi hiyo TV yako mkuuNimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapView attachment 854061i?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu vipi kwema!?Ni inchi ngapi hiyo TV yako mkuu
K/koo utapata tu mkuu
Tumekwambia andaa laki tano pamoja na fundi
Kama ni s8 original ambayo ni version ya Huku kwetu na ipo chini ya warranty ipeleke samsung wenyewe. Baadhi ya Nchi s8 haina ADH sijui huku kwetu, nenda wao watakupa majibu.Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapView attachment 854061i?
Sent using Jamii Forums mobile app