Unahitaji incubator ya ukubwa gani?Habari ya jioni wakuu
Kama kichwa cha habari kilivyo naomba kujuzwa bei ya Incubator na inapatikana/zinapatikana wapi kwa urahisi.
Nawasilisha
ninayo ya mayai 1056, bado mpya kabisaYenye uwezo wa kuchukua zaidi ya mayai 100
Ya mayai 528 ipoMkuu hiyo ni kubwa sana hakuna ndogo yake
Bei zake zikoje na wapi inapatikanaUnahitaji imported au local made mkuu? Aina zote zinapatikana katika vipimo tofauti.
Local made ni customizes kutokana na matakwa ya mteja hata akiwa na changamoto za umeme zinatumia nishati mbadala ili kutimiza lengo la utotoaji.
Mkuu tuwasiliane kwa namba 0689350805/0621699422 tunazo za ukubwa tofauti kuanzia mayai 176 na kuendeleaHabari ya jioni wakuu
Kama kichwa cha habari kilivyo naomba kujuzwa bei ya Incubator na inapatikana/zinapatikana wapi kwa urahisi.
Nawasilisha
Kwa nn usiweke bei mkuu?Mkuu tuwasiliane kwa namba 0689350805/0621699422 tunazo za ukubwa tofauti kuanzia mayai 176 na kuendelea