Bei ya Gesi yapaa ghafla

Bei ya Gesi yapaa ghafla

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,411
Je, kuondoka kwa huyu mzee ndio kumeshaanza kutugharimu mara hii hata jamvi hatujaanua?

Nimeamka na kamtungi kangu huku nimebeba noti mbili nyekundu nkiwaza narudi na buku 3, kufika nahamaki kuambiwa eti bei imepanda ni elfu 20 kwa elfu 52.

Nafikiri kinachofuatia sasa ni kutuondolea na zile channel za bure alizopigania JPM, Ni wakati sasa wa matajiri kuishi kama "malaika ".
R. I. P JPM.
 
Hebu tusubiri mamlaka zinasemaje
 
Melissa iliyokwana pale suez canal ndio imeleta shida Acha kusingizia vitu vya ajabu
 
Acha unafiki mbona sukari na mafuta hausemi, wakati gesi ndogo ni elf20 siku nyingi
Siku nyingi zipi? Uko mkoa gani? Usipende tu vita na mtu ambaye hata hamfahamiani, punguza kisirani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom