Bei ya Gesi yapaa ghafla

Bei ya Gesi yapaa ghafla

Una
Siku nyingi zipi? Uko mkoa gani? Usipende tu vita na mtu ambaye hata hamfahamiani, punguza kisirani
Unafiki sio tusi ila ndo ukweli, mafuta yamepanda hadi elf 35 10l kwa 80 l20 husemi, gesi ambayo ni sh elf 19 unaanza kusema eti kafa juzi bei imepanda, mbona vilivyo panda akiwa hai hukusema.
Acheni mama etu raisi afanye kazi yake
 
Chawa saiv wanajifanya kufuta matongo tongo,eti walikuwa hawaoni wala hawaskii
😀😀
Yaaap kisa mama kaingia usukani wanaanza eti vitu vimepanda bei, wakati sukari, mafuta, kila kitu kilikuwa juu isipokuwa hewa ya Oxygen ya kuvuta
 
Je, kuondoka kwa huyu mzee ndio kumeshaanza kutugharimu mara hii hata jamvi hatujaanua?

Nimeamka na kamtungi kangu huku nimebeba noti mbili nyekundu nkiwaza narudi na buku 3, kufika nahamaki kuambiwa eti bei imepanda ni elfu 20 kwa elfu 52.

Nafikiri kinachofuatia sasa ni kutuondolea na zile channel za bure alizopigania JPM, Ni wakati sasa wa matajiri kuishi kama "malaika ".
R. I. P JPM.
Vitu vingi vimepanda bei
 
Khaaaa
 
Boss hakuna gas ya elfu 17 kwa miaka hii miwili na haijawai kutokea labda kama unauziwa na dila moja kwa moja . Mm ndio shughuli zangu za kila siku kwenye ges
Wapi huko mkuu maana nina zaidi ya miaka miwili hapa Arusha najaza Manjis ndogo elf 17, na najaza kila baada ya wiki 3 sasa sijui unachobisha ni kipi.
 
Kweli hata kipindi cha huyu mzee sukari hazikupanda na mafuta ya kupikia kupotea let alone cement kupanda maradufu..., Nadhani kati yangu mimi na wewe mmoja wetu anahitaji to get the facts right....
 
Je, kuondoka kwa huyu mzee ndio kumeshaanza kutugharimu mara hii hata jamvi hatujaanua?

Nimeamka na kamtungi kangu huku nimebeba noti mbili nyekundu nkiwaza narudi na buku 3, kufika nahamaki kuambiwa eti bei imepanda ni elfu 20 kwa elfu 52.

Nafikiri kinachofuatia sasa ni kutuondolea na zile channel za bure alizopigania JPM, Ni wakati sasa wa matajiri kuishi kama "malaika ".
R. I. P JPM.
wanaume wa dar kwa ulalamishi hamjambo
 
Acha uongo... Kwa Gesi ya kilo 15, imekuwa ikibadilika bei toka 46,000/- hadi 52,000/- kwa kipindi chote cha huyo uliyemsema. Si kitu kipya na wala usitafute umaarufu wa mtu kwenye hili...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom