reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Habarini wandugu, napenda kuuliza hizi gari aina ya carina kwenye show room naweza kupata kwa 7m? Kwa mwenye ufahamu naomba msaada. Asanten Mungu awabariki
habarini wandugu..napenda kuuliza hizi gari aina ya carina kwenye show room naweza kupata kwa 7m? kwa mwenye ufahamu naomb msaada..asanten Mungu awabariki

Agiza moja kwa moja toka Japan. Unaweza kupata kwa bei karibu na hio
asanten kwa ushauri wenu Mungu awabariki

Sorry jamani na mm naomba kujuzwa toyota premior ya 2005 naweza pata kwa bei gani from show room?