Bei ya camera digital

Bei ya camera digital

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Habari naomba kufahamishwa bei digital camera mega pixel 16 canon au aina nyingine bora zaidi nahitaji kwa matumizi yangu y kawaida thanx.
 
Habari. naomba kufahamishwa bei digital camera mega pixel 16 canon au aina nyingine bora zaidi nahitaji kwa matumizi yangu y kawaida. Thanx.[/QUO


UKIHITAJI CANON EOS 10MEGAPIXEL PIGA SIMU 0712652110 TSH 550000
 
Digital Camera za 16 mp zina range kuanzia 380,000 hadi 2million na zaidi kutegemea na aina, zoom, ubora n.k. labda useme we bajeti yako ni shing ngapi. Mi nna Sony Cybershot 16.1m.p mpya nimeiagiza from Japan inafanya kazi vizuri sana ila nimeshindwa kubadilisha language to English. Kama utaweza kupambana nayo ntakuuzia 250,000/-
 
  • Thanks
Reactions: Fdt
habari. Naomba kufahamishwa bei digital camera mega pixel 16 canon au aina nyingine bora zaidi nahitaji kwa matumizi yangu y kawaida. Thanx.

nichek nikuuzie yangu kwa bei poa kabisa,aina ni sony cybershot 14.1mp,quality image,4mb memory card,usb,bag na kila kitu chake.nimeitumia kwa mwezi mmoja tu.pga 0716 212983
 
Digital Camera za 16 mp zina range kuanzia 380,000 hadi 2million na zaidi kutegemea na aina, zoom, ubora n.k. labda useme we bajeti yako ni shing ngapi. Mi nna Sony Cybershot 16.1m.p mpya nimeiagiza from Japan inafanya kazi vizuri sana ila nimeshindwa kubadilisha language to English. Kama utaweza kupambana nayo ntakuuzia 250,000/-

Hahhaha nimeipenda iyo offer yako na nnaona kwamba nnaweza kuinunua ila kuna kwenda kwenye course ya kijapan....
 
Na mimi ninayo Canon 400D na lens yake,bei nzuri tu
 
Ninayo samsung 16.1mp na zoom 5x nataka 260 tu, namba yangu 0713 404014
 
Naendeleza thread,nami nimeagizwa kamera ya matumizi ya nyumbani,sister wangu ana 200,000 wadau anaweza pata?
 
Unataka camera ya aina gani na kwamahitaji ya aina gani
Kwa professional video na picture kuna

Canon Eos 5D mark lV
Canon Eos 5D mark lll
Canon Eos 5D mark ll
Canon Eos 7D mark ll
Canon Eos 7D
Kuna
Nikon D600
Nikon D7100
Nikon D7000
Nikon D5200
Nikon D40
Nikon D90……… .

PANASONIC LUMIX GH4
PANASONIC LUMIX GH5

SONY ALPHA 7S
SONY ALPHA 7R


Sema unataka ipi
 
Matumizi ya nyumbani na mara moja moja kwenye sherehe hivi na vilevile nikipata tenda ya kupiga p.size mashuleni hivi.
 
Back
Top Bottom