Mkuu Nina camera digital Sony megapixels 20.1 mpya kabisa, full boxed, mm ninazo mbili Njoo nikupe moja bossHabari. naomba kufahamishwa bei digital camera mega pixel 16 canon au aina nyingine bora zaidi nahitaji kwa matumizi yangu y kawaida. Thanx.
We Jamaa unapatikana wapi ?MI naweza kuinunua. PlsDigital Camera za 16 mp zina range kuanzia 380,000 hadi 2million na zaidi kutegemea na aina, zoom, ubora n.k. labda useme we bajeti yako ni shing ngapi. Mi nna Sony Cybershot 16.1m.p mpya nimeiagiza from Japan inafanya kazi vizuri sana ila nimeshindwa kubadilisha language to English. Kama utaweza kupambana nayo ntakuuzia 250,000/-
Unapatikana wapi?Ninayo samsung 16.1mp na zoom 5x nataka 260 tu, namba yangu 0713 404014
Binafsi nahitaji camera ambayo ni hd ,nahitaji kwa ajili ya ku record kwaya, mahubili Nk, 0753487023Unataka camera ya aina gani na kwamahitaji ya aina gani
Kwa professional video na picture kuna
Canon Eos 5D mark lV
Canon Eos 5D mark lll
Canon Eos 5D mark ll
Canon Eos 7D mark ll
Canon Eos 7D
Kuna
Nikon D600
Nikon D7100
Nikon D7000
Nikon D5200
Nikon D40
Nikon D90……… .
PANASONIC LUMIX GH4
PANASONIC LUMIX GH5
SONY ALPHA 7S
SONY ALPHA 7R
Sema unataka ipi
Nicheck kama unahitaji cameraBinafsi nahitaji camera ambayo ni hd ,nahitaji kwa ajili ya ku record kwaya, mahubili Nk, 0753487023
Hebu nitafute kama hujapataHabari naomba kufahamishwa bei digital camera mega pixel 16 canon au aina nyingine bora zaidi nahitaji kwa matumizi yangu y kawaida thanx.
Nicheki dm naitakaSONY original aliniachia rafiki yangu mjerumani kipindi nikiwa lushoto tanga,
Inauwezo wa ajabu kwenye kuzoom hadi umbali wa kilomita tano ipo very HD na kikibwa zaidi ina wi-fi
Ina good resolution na inarekodi vizuri naiuza 450000
km 5 duu! hizi zitakuwa za kule NATGEO TV.SONY original aliniachia rafiki yangu mjerumani kipindi nikiwa lushoto tanga,
Inauwezo wa ajabu kwenye kuzoom hadi umbali wa kilomita tano ipo very HD na kikibwa zaidi ina wi-fi
Ina good resolution na inarekodi vizuri naiuza 450000
Ebhana bado unayo hii kitu?SONY original aliniachia rafiki yangu mjerumani kipindi nikiwa lushoto tanga,
Inauwezo wa ajabu kwenye kuzoom hadi umbali wa kilomita tano ipo very HD na kikibwa zaidi ina wi-fi
Ina good resolution na inarekodi vizuri naiuza 450000
Mkuu kitu km zawadi aipendezi kukiuzaSONY original aliniachia rafiki yangu mjerumani kipindi nikiwa lushoto tanga,
Inauwezo wa ajabu kwenye kuzoom hadi umbali wa kilomita tano ipo very HD na kikibwa zaidi ina wi-fi
Ina good resolution na inarekodi vizuri naiuza 450000
ipo kiongoz japo vyuma vimelegea kwa sasa ila ukihtaj nakuachiaEbhana bado unayo hii kitu?
vyuma kakaMkuu kitu km zawadi aipendezi kukiuza
Unaiuza bei gani now?ipo kiongoz japo vyuma vimelegea kwa sasa ila ukihtaj nakuachia
bei haijapanda kaka 450Unaiuza bei gani now?