Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,004
Wadau habari zenu?
Naomba kujua bei ya kunua 1 karat ya Almasi kwa hapa Tanzania.
Mwenye kujua na maelezo mengine namna ya kupatikana,please naomba ani PM.
Asanteni wote.