1. Mchanganyiko ni 30 ~ 50 per rooms
2. Self 70 ~ 200 per months
Kuna uswaz bei poa, uzungun kidogo bei juu... ila raha sana ndio katika ya kata/kitaa poa sana na mwal nyerer alihishi pale.,
Chakula kipo, hospt zipo, shule kibao, police wilaya ndio hapo, msikit mkuu, kanisa makuu yapo pale, bar na hotel nyingi sanaa, tanesco wapo mkoa, dawsco wapo, unga unauzwa balah tena karib kabisa na police na ofice ya TLP, meno ya tembo yanauzwa sanaa karibu na tanesco. ..... madada poa na kaka kibaooooooooooo.... unataka nini sasa.
Unakosa nini sasa.