Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
sa si wadada kwa nini anatupenda sanaTena ndiyo anawwapenda kweli wadada!
sa si wadada kwa nini anatupenda sanaTena ndiyo anawwapenda kweli wadada!
sa si wadada kwa nini anatupenda sana
Habari ndugu zangu,
Katika hali ya iliyoniacha mdomo wazi na ya kushangaza sana, jana nilionana na dalali aliyekuwa akinitafutia chumba cha kupanga maeneo ya magomeni mapipa tulipotaka tukacheki chumba hicho ilimbidi dalali awasiliane na mwenye nyumba kuwa amempata mteja!!!
Ghafla ktk maongezi yao;
Mweny nyumba: Hyo anaetaka chumba ni mwislam?!
Dalali: (akielkeza suali hilo kwangu), eti wewe kijana ni mwisilamu?!!
Mimi : (Nkipatwa na kigugumizi kiasi na mshangao), Hapana, mimi ni mkristo (hku mapigo yng ya moyo yakienda mbio)
Dalali 🙁akimjibu mwnye nyumba), hapana ni mkristo, akakata cmu!!!
MY TAKE: Hali hii usiiskie tuu, ikikukuta when you are in need ndo utaelewa UBAGUZI WA KIDINI ni dhambi mbaya sana!!
Shule primary hadi chuo niliishi na marafiki WA dini na makabila yote, sikuwahi kufkiria kuwa tunatofauti kiasi hiki!!
Mwisho, tofauti tulizonazo hatukuzaliwa nazo, tumezikuta duniani na tutaziacha duniani!!
Mungu hatoihukum dunia kwa misingi ya dini, elimu, kabila, rangi nk nk nk....
Chumba nitapata sehm nyingne as God wishes!!
But napinga ubaguzi
Mkuu mbona me naishi magomeni lkn nyumba ninayokaa 2po wapangaji wa dini tofauti tofauti. Sijajua lengo lako la kusema kama sio muislam huwezi kupata chumba/vyumba magomeni. Kwanza napenda utambue magomeni wapo wa2 wa dini zote (sio waislam pekee). Pili, mwenye nyumba ana maamuzi ya kuweka vigezo anavyotaka mf. kwa kigezo hata cha ukabila (Maana kuna baadhi ya makabila yanatambulika kwa tabia fulani ambazo pengine yeye anaona zinamkera).Habari ndugu zangu,
Katika hali ya iliyoniacha mdomo wazi na ya kushangaza sana, jana nilionana na dalali aliyekuwa akinitafutia chumba cha kupanga maeneo ya magomeni mapipa tulipotaka tukacheki chumba hicho ilimbidi dalali awasiliane na mwenye nyumba kuwa amempata mteja!!!
Ghafla ktk maongezi yao;
Mweny nyumba: Hyo anaetaka chumba ni mwislam?!
Dalali: (akielkeza suali hilo kwangu), eti wewe kijana ni mwisilamu?!!
Mimi : (Nkipatwa na kigugumizi kiasi na mshangao), Hapana, mimi ni mkristo (hku mapigo yng ya moyo yakienda mbio)
Dalali 🙁akimjibu mwnye nyumba), hapana ni mkristo, akakata cmu!!!
MY TAKE: Hali hii usiiskie tuu, ikikukuta when you are in need ndo utaelewa UBAGUZI WA KIDINI ni dhambi mbaya sana!!
Shule primary hadi chuo niliishi na marafiki WA dini na makabila yote, sikuwahi kufkiria kuwa tunatofauti kiasi hiki!!
Mwisho, tofauti tulizonazo hatukuzaliwa nazo, tumezikuta duniani na tutaziacha duniani!!
Mungu hatoihukum dunia kwa misingi ya dini, elimu, kabila, rangi nk nk nk....
Chumba nitapata sehm nyingne as God wishes!!
But napinga ubaguzi
wewe ni rafiki yangu sana nisingetamani tubishane katika ili ila kuna ushahidi kwenye hili
toa ushahidi
kama wewe ni muislamu utapata nyumba magomeni ila kama sio sahau
kama ni kweli inasikitisha sana.....pole
Mkuu mbona me naishi magomeni lkn nyumba ninayokaa 2po wapangaji wa dini tofauti tofauti. Sijajua lengo lako la kusema kama sio muislam huwezi kupata chumba/vyumba magomeni. Kwanza napenda utambue magomeni wapo wa2 wa dini zote (sio waislam pekee). Pili, mwenye nyumba ana maamuzi ya kuweka vigezo anavyotaka mf. kwa kigezo hata cha ukabila (Maana kuna baadhi ya makabila yanatambulika kwa tabia fulani ambazo pengine yeye anaona zinamkera).
Hatukatai kama umekutana na hali hiyo ambayo mwenyewe unadai imekutokea lkn je sehem zote ulizotafutiwa na huyo dalali huko magomeni walikuwa wanataka muislam? Au umeamua tu kutaka ionekane kwamba waislam wabaguzi?
shida ya magomeni ni mashoga. Kuna siku usiku utadhani umechukua demu kumbe ni kiboga,mkienda anakwambia usiwashe taa, anavua kisha anakupa kiua!
Mkuu ni pm sasa hivi upate chumba kisicho na udini wala nini unalipa hela yako leo unaingia leo leo. geti. umeme. maji. tiles. gypsum . hewa nzuri. utulivu. Njoo
Nimechoka na foleni za mbezi kimara. Nataka kuhama vipi bei ya vyumba vya kupanga kuishi magomeni! Hakuna foleni
Frema nakushukuru sana. Nitajitahidi nipate ya fedha ya miezi.6. Makoyo mimi ni MKATOLIKI na nimeishi na Waislamu vizuri tu. Magomeni haitanishinda. Napenda mwenye nyumba asikae hapohapo.