Nimechoka na foleni za mbezi kimara. Nataka kuhama vipi bei ya vyumba vya kupanga kuishi magomeni! Hakuna foleni
kama wewe ni muislamu utapata nyumba magomeni ila kama sio sahau
Mhhhhhhh sio kweli
ana miaka mingapi huyo bibi?Ipo moja Makanya chumba na sebule self cntd. mwenye nyumba ni m bibi na anavuta sigara. Ila sharti lake kuu umgegede mara kwa mara nyama nyama
ana miaka mingapi huyo bibi?
Kuna wakristo wengi wana nyumba magomeni hawa nao hupangisha waislamu tu......siyo kweli.kama wewe ni muislamu utapata nyumba magomeni ila kama sio sahau
wewe ni rafiki yangu sana nisingetamani tubishane katika ili ila kuna ushahidi kwenye hili
Ipo moja Makanya chumba na sebule self cntd. mwenye nyumba ni m bibi na anavuta sigara. Ila sharti lake kuu umgegede mara kwa mara nyama nyama
hahhaaaaaaaa huyo bibi noma...sa kama ni mdada hakuna sharti la kumgegeda!!!!!!!!
Tena ndiyo anawwapenda kweli wadada!