Bei mpya za uchimbaji wa visima, ground water survey na pump installation

Ninahitaji kampuni inayo fanya shughuli ya utafiti na uchimbaji maji.
Kazi zinazo takiwa kufanyika:
1. Kufanya survey na kushauri,
2. Kuchimba Kisima.

Asante. Josam
Piga no ni watafit na wachimbaji wazur Wa visima 0715025996/0754025996
 
Kampuni nyingi hazifanyi kazi zote pamoja kukimbia lawama nashindwa kuelewa inakuwa ni vifaa wanavyotumia au shida ni nini
 
Kampuni nyingi hazifanyi kazi zote pamoja kukimbia lawama nashindwa kuelewa inakuwa ni vifaa wanavyotumia au shida ni nini
Asante Mkuu, ila kwa upande Mwingine hiyo ni nzuri kuepuka kuongeza gharama ...katika jicho la umiliki soko../ biashara huria..
 
mimi ni mjasiriamali, nipo maeneo ya wilaya ya kilindi kijiji cha kigwama, najishughulish na ukulima pamoja na ufugaji. Nilikuwa nahitaji kuchimba kisima kwa ajili ya shughuli zangu hapa, sasa nahitaji kujua gharama zake kwa yeyote mwenye kujua. Nawasilisha
 
Umeshafanya survey (kupima ili kujua kuwa kisima kichimbwe mita ngapi)survey ndio kitu cha awali kabla ya kuchimba kisima.
 
Nenda Idara ya maji ktk mkoa wako ulizia savei then muelezee shida yako atakupimia na atakwambia mita ngapi uchimbe ungekua moro ningekuchimbia na kukupimia tena kwa bei nafuu sana
Mkuu moro unapima na kuchimba kiasi gani kwa maeneo ya Area Six Nane Nane?!
 
Kwa uzoefu mdogo nilionao ni kwamba ,maeneo ya jiji dar esalaam surveying ni tsh laki mbili hii ni kutokana na gharama za usafiri then kuchimba kisima kama maji watayapata baada ya kupima :kwanza aina ya udongo unaopatika sehemu husika inadetermine /inapelekea bei either kuwa kubwa au ndogo ,kwa mfano mwamba au udongo wa mfinyanzi gharama itakuwa kubwa kidogo kulinganisha na tifutifu kwa sababu ya gharama za mafuta yatakayo tumika kwenye mashine kutofautia kati ya aina hizo mbili kwa hiyo bei ya kuchimba itatengemea na erefu wa kina ambapo huwa wanafanya bei zao kwa mita kwa dar mita moja inaanzia 70000 mpaka 80000
 
Mkuu Academy
Hapa Morogoro Maeneo Ya Kingolwira Hasa Hapa Jirani Na Kituo Cha Police Upande Huu Wa Pili Jirani Na Soko
NilikuwA Nahitaji Kupata Huduma Ya Kujua Umbali Gani Maji Yanawezekana Kupatikana

Halafu Ndiyo Nijue Gharama Zake Sasa
 
Kingolwila kuanzia mita 70maji yapo pia nachimba kwa gharama nafuu sana na unaruhusiwa kulipa Kidogo Kidogo Baada ya kutoa gharama ya mwanzo Kama Kisima ni million tano unatoa million tatu mbili unatoa Kidogo Kidogo
 
Mara nyingi maji huanza kupatikana mita ngap
Inategemea na sehemu na sehemu. Hakuna guarantee ya kwamba maji yataanza kupatikana umbali wa mita ngapi. Water table inatofautiana kati ya sehemu na sehemu ndio maana inafanyika survey kujua aquifers, number of aquifers and thickness of aquifer (mikondo ya maji ilipo, idadi ya mikondo na ukubwa wa kila mkondo wa maji) mwisho ndio utapewa jibu kwamba chimba mita kadhaa.
 
Mkuu Academy
Hapa Morogoro Maeneo Ya Kingolwira Hasa Hapa Jirani Na Kituo Cha Police Upande Huu Wa Pili Jirani Na Soko
NilikuwA Nahitaji Kupata Huduma Ya Kujua Umbali Gani Maji Yanawezekana Kupatikana

Halafu Ndiyo Nijue Gharama Zake Sasa
Hapo kuanzia mita 60 maji yapo nitafute kwa namba hii 0713 880711
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom