Bei mpya za bima za magari hizi hapa

Bei mpya za bima za magari hizi hapa

Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba
rate mpya zimesitishwa kwa muda
usiojulikana. Zaidi baadaye!
 
Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba
rate mpya zimesitishwa kwa muda
usiojulikana. Zaidi baadaye!

Charminglady..naomba unipe huo waraka wakusitisha mimi huku nimeshalambwa sasa nilitaka nilipie na lingine sasa baada ya kupitia hapa basi naomba unitumie huo waraka wa kusitisha muda huu..
Asante kwa msaada
 
Nikumbushe kesho!
 
haya mambo ya kuchelewa kukata bima wakati imeisha,kizazaa ndio hichi,bajeti yangu ya mwezi imepanda duh!:A S 13:
 
Back
Top Bottom