Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
weka kwa hela ya Tz tuweze kulinganisha...Bei ya mafuta ya petrol Nairobi 92.88 kwa litre , diesel Sh83.35 na kerosene Sh65.59 kwa litre
Mombasa Sh89.57 kwa petrol, , kwa diesel Sh80.06 na Sh62.84 kwa litre ya kerosene.
Sehemu nyingine za kenya bei haifiki Sh100 kwa litre,
ILA kwa maeneo ya Wajir, Loboi, Mandera, na Lokichogio mafuta yanauzwa kwa kati yaSh100.32 na Sh106.69 kwa litre,