omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,700
Mbona siku yakipanda nao huwa wanapandisha siku hiyo hiyo!?Ukinunua mafuta leo toka umangani yatawekwa lini kwenye meli na kuasafirishwa mpaka Dar?
Yatafika lini Dar?
Suala hapa kama ni mambo ya kiuchumi inabidi tuishi kwenye uchumi halisia na sio wa kubuni. Kushuka bei mafuta kuna athari kwenye mambo mengi lakini hatuwezi kuzizuia hizi athari kwa kulazimisha bei za zamani!
Haya mambo ya kung'ang'ania bei ziwe juu sababu ya faida ya watu fulani na hata 10%s imefikia sehemu sasa inamaliza misitu wakati ikiwepo nishati mbadala ya gesi na umeme inayopandishwa bei na hizi siasa.