omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,700
Kwa Tanzania mambo yetu yako so complex hivyo ni ngumu kujibu swali lako.
Ingelikuwa kwenye jamii za watu walio huru kimwili na kifikra bei ingelikokotolewa kama ifuatavyo:
Bei ya pipa ilipokuwa US $ 100 = Petrol iliuzwa Sh. 2,250/-
Bei ya pipa imekuwa US $ 50 = Petrol iuzwe Sh 1,125/-.
unaweza kukokotoa hivi hivi kwa diesel, mafuta ya taa nk.
Lakini hapa watakwambia kuwa projection za bajeti zilibase kwenye makusanyo ya makato ya sh. 2,250/- hivyo hatuwezi kushusha bei kienyeji bila kuangalia athari za bajeti na uchumi. Pia wanaweza kukwambia huu mzigo uliopo ulikuja kwa bei za zamani! Lakini hao hao watakaokwambia hivyo siku pipa moja likifikia us $ 200 kesho yake petrol stations zote zitauza mafuta Ts. 4.500/-.
Ndio maana wengine wanasema tuishi kwa slogan ya 'let a spade be called a spade' ili tuone consequences zake.