Bei gani kurusha tangazo radioni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei gani kurusha tangazo radioni?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtanzania haswa, Jan 6, 2012.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari wana JF....
  Ninataka kujua bei za kurusha tangazo redioni. radio mfano RFA, CLOUDS FM, TIMES FM, MAGIC etc.
   
 2. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  vp hakuna mwenye ufahamu wa hilo
   
 3. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tanga hutegemea na urefu wake I mean la dakika au sekunde ngapi, na unataka lirushwe mara ngapi na wakati wa kipindi gani, vitu hivi ndio hu determine bei ya tangazo. Ila ukienda watakupa na price list yao
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  karibu na huku mkuu
  GSHAYO
   
Loading...