Behind the Scene: Uchaguzi wa Zanzibar 2015

Kipepeo Mweusi2

New Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
2
Reaction score
6
Njama | Usaliti | Visasi| Rushwa | Ujasusi | Uzalendo | Utii | Uadilifu | Udhaifu | Uzembe | Ubinafsi | Chuki

PhotoCollage_20200109_104612126.jpeg

By Kipepeo Mweusi

Amani iwe juu yenu Enyi waja mlio chini ya jua, katika makala hii tutaangazia uchaguzi wa Zanzibar 2015 na yale yaliofichika mengi yalitokea tunayoyajua na tusiyojua ungana nami bega kwa bega katika mfululizo wa makala hizi mwanzo mwisho.

Chambani -Pemba -Zanzibar, Tanzania 2013, Saa 7 usiku.

Kwenye nyumba moja yenye bati jekundu na geti jeusi nyumba hii iliyokaribu na nyumba yenye kisima kwa upande wa kusini inaingia gari aina ya noah rangi ya silver, iliyobeba watu wapatao sita, baada ya dakika 10 inaingia gari nyingine inayoonesha kuchoka kidogo lakini ndani ya gari hii anashuka mtu mmoja ambaye tutakuja kumjua mbeleni watu hawa kwa ujumla wao na wengine ambao walishakuwa ndani ya nyumba hii wanatimia watu tisa.

Kikao kinaanza saa 7 na nusu usiku ni kikao cha siri sana muongozaji wa kikao hiki ni yule bwana aliyeshuka kwenye gari iliyochoka choka anakohoa kwanza kuweka sauti yake sawa iliyokuwa na mafua na kikohozi kidogo kisha anawaambia wale watu nane kuwa

Al Tamil anamategemeo na nyinyi makubwa na amenipa kazi ambayo mnapaswa kuifanya kwa weledi mkubwa sana lakini lazima mjitoe kuhakikisha hatumuangushi Al Tamil.

Radisson Blu Hotel & Residence, Riyadh Diplomatic Quarter, Saudia March 2013

Katika chumba cha mkutano , chumba hicho yenye mwanga hafifu sana mzee mmoja mwenye nywele zenye mvi na ndevu zenye mvi akiwa amekaa mkao wakusubiri mtu hafla wanaingia watu wawili wanaonesha kuwa ni walinzi kisha anafatia mtu mmoja ambaye wenyewe wanamwita Shadid ,mtu huyu anasalimiana na mzee huyu mwenye nywele nyeupe kwa lugha ya kiarabu japo kisha wanakaaa kitako,

Shadid anamwambia nimekuja kukusikiliza , yule mzee mwenye nywele nyeupe anamwambia naomba kuonana nae

Shadid anamuuliza kwanini?

Anamjibu kuwa muda umewadia..............

Shadid anamtizama mlinzi wake na kumuonesha ishara ya kufanya kitu, mlinzi yule anapeleka tablet kwa mzee mwenye ndevu nyeupe, mzee anatizama anatikisa kichwa amehafiki.

Kisha Shadid anamwambia hakikisha unafika kwa wakati alama zako zidhibiti, anaondoka zake haraka sana, mzee anatabasamu kwa furaha uku nae akitoka nje ambapo anamlinzi wake aliyekuwa akimsubiri mzee huyu Al Tamil ambae ametoa kazi katika kikao cha Chambani,kisiwani pemba uko afrika code name ni Al Tamil anaelekea katika chumba chake alichofikia asubuh mapema anapanda ndege kuelekea Dar es Salaam, Tanzania mipango yake kwa sasa ni kuhakikisha mission yao inakamilika.

Baada ya kufika Dar es Salaam anafanya mazungumzo na mtu mmoja serena hotel, haraka sana anarudi Zanzibar akisindikizwa na msafara wa magari manne, Al Tamil anareport kwa boss wake safari yake ilivyokuwa lakini anaficha yale anayoyafanya kinyume na matakwa ya boss wake kikatiba na kuandaa haraka sana mazingira ya safari yake ya mwezi wa nne yenye usiri mkubwa Al Tamil anatumia mwanya wa kwenda kupata matibabu hivyo haikuwa shida sana kwake.

London, United Kingdom April 13, 2013

Al tamil anafika kwenye nyumba moja ya kifahari anapokelewa na kuingizwa haraka katika chumba maalum akiwepo shadid anasubiriwa mtu ambae Al tamil anamwita الملك {Almulk} wakionekana wote wawili kwenye utulivu mkubwa sana, anaingia Mzee mmoja ambaye ndiye Almulk alipoingia tu Al Tamil anainuka pamoja na Shadid wakiinamisha vichwa yao chini kwa heshima kwa Almulk, kisha anawaambia kaeni, wanakaa wakiwa watu wanao onekana kumuheshimu sana mtu huyu,kisha Almulk anawambia hongera mmefikia pazuri lakini nahitaji ukamilishe 2015, haya nakusikiliza, hakuonekana mtu mwenye maneno mengi.

Al Tamil anamwambia kuwa ,zabuni nyingi tumewapa makampuni ambayo uliniagiza, lakini nina mpango ambao unahitaji uwekezaji wa $10 Bil. kuhakikisha tunafanikisha Operation Chakra

Al mulk anamwambia kumbuka nishaweka pesa nyingi kwako na mpaka sasa hujaikamata kumbuka nina watu na makampuni makubwa wanao toa pesa kwako ili tupate na wapate nafasi kubwa Zanzibar una hakika na operation chakra?

Al Tamil anajibu "pasi na shaka Almulk."

Almulk anamwambia nipe mchanganuo wa operation chakra na namna utavyoitekeleza

Al Tamil anatoa makaratasi fulani anataka kuanza kumuelezea lakini hafla anaingia mtu katika chumba hicho ambae ni mlinzi wa AlMulk anampa simu haraka sana inaonesha ni simu ya muhimu sana.

Al tamil ni code name anahidiwa kuingiziwa pesa $10 Bil. kuhakikisha operation chakra inafanikiwa ili kumuwezesha Al Mulk.

Je Al Tamil ni nani?

Ni Mission gani anahitaji kuitekeleza? Je Almulk anapewa habari gani?

Tukutane katika sehemu ijayo

Kipepeo Mweusi
 
Je Al Tamil ni nani?

Ni Mission gani anahitaji kuitekeleza? Je Almulk anapewa habari gani?

Tukutane katika sehemu ijayo

Kipepeo Mweusi
Njama | Usaliti | Visasi| Rushwa | Ujasusi | Uzalendo | Utii | Uadilifu | Udhaifu | Uzembe | Ubinafsi | Chuki

View attachment 1317282

Jr
 
Back
Top Bottom