Ndie chanzo cha vurumai kwa vjn hawakuta kumuona lowasa akielekea kwenye halmashauri waki amini kwamba ataiba kura,pia kwenye vyombo vya habari polisi walipotosha ukweli kwa kusema gari lililopigwa nila RPC
bora ungezaliwa mwanamke , mtoto wa kiume hafai kuwa mmbea!
mkuu ilitokea usa eneo la kutangazia matokeo.vijana walipojua ni EL walitaka'' kumuharibia'' pale pale