Behind the curtain: September 11

shukrani mkuu ze bold....kwa kuongezea chumba cha ufahamu ktk jengo la ubongo wng wa ufahamu wa mambo ya kidunia...
"we 'r waitin the king master"
hujawahi kuniangush broh...
natamani sana kuja huko whtsapp....lakini nina minyororo na ID yng.... hav a nyc day mkuu....
 
Mkuu upo serious kweli kusema google na jf wanatoa huduma bure??

Hakuna cha bure kaka dunia hii we huulizi pango la ofisi zao,wafanyakazi nk pesa za kuwalipa wanatoa wapi??
Wewe fala ni lini umewahi kulipia JF? Na ni lini umewahi kulipia google search engene? Matako kabisa wewe.
 
shukrani mkuu ze bold....kwa kuongezea chumba cha ufahamu ktk jengo la ubongo wng wa ufahamu wa mambo ya kidunia...
"we 'r waitin the king master"
hujawahi kuniangush broh...
natamani sana kuja huko whtsapp....lakini nina minyororo na ID yng.... hav a nyc day mkuu....
Mkuu Juma,hatutaki kuijua ID yako,kule tunajumuika bila kujali huyu ni nani JF.

Unless uwe na sababu zako nyingine ila kuhusu ID hakuna mwenye kutaka kuijua.
 
Umetendea haki maandishi yako!!

Umetendea haki utafutaji WA habari na uchambuaji!.
Nadhani kuna haja ya kutengeneza documentarie za matukio tata kama izo!
Am waiting for king maker !.
Shukrani sana Mkuu..
Pamoja!
 
Back
Top Bottom