Behind the curtain: September 11

Tatizo mtakua mnasoma bure na kumsifia wakati yeye haingizi chochote mwendo huu huu wa wasap unalipia ndo upate vigongo na yeye kakaa zake kwake anaingiza pesa hayo mambo ya kina milad kupgwa jua ndio upate pesa hatutaki..
Cc: The bold.

Blog ikipata watembeleaji wengi unapata matangazo na masponsor pia kipata kitaongezeka kadri unavyofanya kazi na kuwavutia watu
 
Sasa si mpaka upate hao wazamin wakat yeye sasa hv anajilia ela kiulaini kwnye grup la wasap pasipo tumia nguv nying ya kubembeleza masponsor na blah blah kibao yeye kutumia wasap sio fala yote haya mnayosema alijua toka mwanzo so kwake wasap ndo the best
 
Tatizo mtakua mnasoma bure na kumsifia wakati yeye haingizi chochote mwendo huu huu wa wasap unalipia ndo upate vigongo na yeye kakaa zake kwake anaingiza pesa hayo mambo ya kina milad kupgwa jua ndio upate pesa hatutaki..
Cc: The bold.
Wewe ni mpuuzi kabisa google ingekuwa na watu wenye akili mavi kama hii yako hata The Bold asingeweza kupata hizi simulizi.
 
Haaaaaa hili povu la petrol kwan vp tuliza mpapa we mtoto uliekulia kwa mjomba mimi hua natumia grisi sijui uko tayari..... the bold karizika na pesa zake za wasap hatak mbwembwe za nyie walala sebuleni mbona bado mnakula kwa shemeji na hamkuja na idea za stor kama za "the bold"
 
Hii si dalili njema kwa mvulana kujipendekeza kwa mwanaume.

Hiyo ni nafasi ya Nifah, sasa mvulana unapomgombea mwanaume ulimwengu wote unapigwa na butwaa.

Kuna watu wenye akili waliumiza akili zao na wakaja na google search engene na inatowa huduma bure.

Hata hapa JF unapokatika viuno kama unasasambuwa kwenye kibao kata Max na Mike wanatowa huduma hii bure. Fala wewe.
 
Lazma The bold alikutosa sio bure wenye akili n wazungu tu toka lini mtu mwenye ngozi kama matairi ya bridgestone akawa na akili,hapa hakuna mvulana labda wewe mana nyie watoto wa kubemendwa hua mnapenda kuteleza pakavu na ndo kilichokuathiri,Kaa subiri epsode ingine ya stori ya 11 sept. Leo wacha kelele za Turbo na spidi huna punguza povu la adblue the bold hatumii oil ya SAE 40 kufilishia Diff
 
Sasa si mpaka upate hao wazamin wakat yeye sasa hv anajilia ela kiulaini kwnye grup la wasap pasipo tumia nguv nying ya kubembeleza masponsor na blah blah kibao yeye kutumia wasap sio fala yote haya mnayosema alijua toka mwanzo so kwake wasap ndo the best

katusua 5000 imekaaaa vizuri kila week 1000 na 250
 
Back
Top Bottom