Delemy 004
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 407
- 145
Mimi mchango wangu, siwezi kuchangia kama hao wengi walio tangulia, inaonekana wanafanya ushabiki Zaidi kuliko kutumia akili zao vizuri, najua ni akili ndogo lakini mlipaswa kujiongeza kidogo
Nani kati yenu asiejua ubabaishaji wa jeshi letu polisi ?
Mtu kama Gwajima na utajili alionao kuna ubaya gani kmiliki bastola, kwani mpaka tushangae hilo wanao toa kibali cha kumiliki bastola kuna mipaka kwa wachungaji ?
Pengo anakubali msimamo wa maaskofu, tatizo ni lile hitimisho la nenda kapige kura ya hapana! Anataka mtu aamue mwenyewe kama ndio au hapana!
Dogo huoni hiyo picha imepigwa baada ya polisi kupekua begi...inaonyesha wewe ni muhuni na jambazi na huo ndio mpangilio wa nguo katika bag lako
Bereta Wee Deree
Na yeye pia awe anatumia akili kuwaza na kufikili,hawezi kuongea jambo bila kuwaza,hata chizi kabla hajaongea ana waza japo ataongea pumba#Naiman64
Alipoanza na habari ya kufufua misukule ndo uthibitisho kuwa huyu ni tapeli tu.Haamini nguvu ya mungu mpaka anatembea na bastola
Huyo ni sawa na Gwajima, matusi ndiyo chakula chao.
Nilikuelewa ila wewe pia hujaelewa comment yangu,aliye kuambia yule ni mkubwa kwangu ni nani??je kama nimemzidi unajua??
Huyo atakuwa jambazi tu,
Hata mpangilio wa begi ni wa kihuni kihuni tu.