Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,151
- 1,444
Hii beer ni elf 1,000, au 1,200. Nauliza wale wa dau na wataam wa vileo tofauti yake ni nin na hiz zingine za 2,000? Kwenda juu, au ndio makapi ya mwisho katika beer? Niko shamba Huku mlimba ndio natamba nayo sas hv