TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
Hiyo ni couple nayo unaweza ukaiita,au na wewe ni aina hiyo hiyo. Nijuavyo mimi wema, jokate Diamond na wengi wa aina hiyo wanaojiita kizazi kipya wote ni wahuni tu. Hivyo si ajabu kumsikia huyu kamchukua yule, ila ni ajabu sana mtu unataja kuwa wahuni fulani ni couple.HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?
Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.

Mchaga wolper anawasumbua
Mchaga wolper anawasumbua
Habari JF,
Leo nilikua naangalia CLOUDS TV-Take One::Zamaradi alikua anawahoji Wema na Irene Uwoya na wote wamefunguka
1.Wema Kamchana Jokate kwamba amempora mchumba wake(Diamond) na pili kamchana Jackline Wolper kwamba ni mshamba wa kijijini
2.Irene Uwoya kamchana nae Jack Wolper kwamba ni mlugaluga
Haya ebu tuone mwisho wao vijana
Nawasilisha
Acha kushambulia,katoa mawazo yake,we ndo unaleta upupuupupu!!!!!!tuna mengine ya kutafakali tafadhali!!!!kama huna kalale!!!
usimuwekee dhamana demu wewe wajanja watakucheka!jokate demu kama mademu wengine anachapika kama mademu wengine!!!acha upimbi.....Huu ni UDAKU wa kumchafua JOkate hakuna jingine!!!
Kwa story za juu juu nilizozipata ni kuwa wakati Diamond akishoot video ya mawazo na mwanadafada Jokate, walifanya ile kitu ya amri ya sita tulionyimwa mpaka tuoe na kuolewa, na wema sepetu aliwafuma wakilana denda live katika eneo hilo...sina uhakika zaidi lakini haya ni maneno na sauti ya wema akiongelea swala hilo
Namnukuu wema
' kwa kweli sikutegemea kunyang'anywa bf na mtu anaeimba kwaya kanisani na kumcha Mungu'
Wema akilalamika kuhusu jocate - - YouTube
Wanapendeza pamoja bwanaaa WEma wa nini?
Habari JF,
Leo nilikua naangalia CLOUDS TV-Take One::Zamaradi alikua anawahoji Wema na Irene Uwoya na wote wamefunguka
1.Wema Kamchana Jokate kwamba amempora mchumba wake(Diamond) na pili kamchana Jackline Wolper kwamba ni mshamba wa kijijini
2.Irene Uwoya kamchana nae Jack Wolper kwamba ni mlugaluga
Haya ebu tuone mwisho wao vijana
Nawasilisha
Dogo ana mkwanja bana acheni afaidi...I somehow thought this jokate girl has some classy in her. how low she can go hata kutoka na katoto kama diamond pamoja na usomi wake? I dont understand hawa wasichana wa bongo waokuwa famous kwa kupitia urembo..too confusing