Hahahaha, jamani nimestuka. Hili jukwa tuna-access hata kina sisi,Nikiwa peke yangu navaa ch.u.p.i ila akiwepo papa rejao cvai kitu kbs,ili kumpa urahic wa access ya kula au kukipapasa kitumbua any time he wish 2.
Mi nalala na skin jeans na koti la mvua.
Swahibaaaaa! Umesahau pia huwa huachi kofia na mabuti lol.Mi nalala na skin jeans na koti la mvua.
Swahibaaaaa! Umesahau pia huwa huachi kofia na mabuti lol.
Mi nalala na skin jeans na koti la mvua.
kwa nini unavaa hivyo?
unaogopa popobawa?
navaa suti!
...nikiwa alone...nalala kama nilivyozaliwa....
...akiwepo my madame...nafunga kanga moko...
...nikiwa na mshkaji...jinsi skin kama zile za machalii ya arusha....
ki-night dress chepesi huwa napenda hewa sana na mwili kurelax nikiwa nimelala whatever awepo Mr. asiwepo I DO WEAR IT
Hahaha hahhahhaha,
Hizo isidingo kaka,lkn ile ya kukuta umetengewa inashawishi hata km hakua na ratiba hiyo,chezea!!!
Mimi nalala na msuli....safi sana yaani
"Skin jeans" ndiyo nini Mwajuma?
mie naona wa kilongi,lol nalalaga na bazee ila chupi na sidiria navua lol siku nyingine navaa night dress nyepesi ila mara nyingi nalala na bazee lol
kama ile aliyoninunulia hamisi kwenye besidei.
Swahibaaaaa! Umesahau pia huwa huachi kofia na mabuti lol.