Become A Satellite Tv Installar; Make Money installing DSTV,AZAM,FTA

Mkuu ungeanzisha uzi wako lingekuwa jambo la busara sana,Ni bure pia kuanzisha uzi wako ukatangaza hiyo huduma yako.

Tunashukuru mungu tumemaliza salama coz ya siku 8 yenye kulipishwa laki moja waliokuja wameipata kwa bure na wameisoma kwa siku moja
 
tarehe 2/1/2017 kwa anaehitaji kujifunza cctv camera, phone extention(simu za maofisini), kutengeneza mashine ya kunynyolea kuku manyoya pamoja na incubator mnakaribishwa tuwasiliane kupitia namba 0622001223
 
Mkuu wapatikana wapi? Yaani hamna gharama yoyote
tarehe 2/1/2017 kwa anaehitaji kujifunza cctv camera, phone extention(simu za maofisini), kutengeneza mashine ya kunynyolea kuku manyoya pamoja na incubator mnakaribishwa tuwasiliane kupitia namba 0622001223
 
mkuu hii kitu imenipita, lini tena itarudiwa?
 
January ntakuwa nimeshatoka lkzo huku Dar narudi musoma kwenye kazi za watu, vp swezi kukutafuta ww binafsi ukanipa maujanja ila nitakulipa kiasi?
 
mkuu hii kitu imenipita, lini tena itarudiwa?



mwenz wa kwanza kuna intake nyingne so kama utakuwa na nafasi fanya usajiri mapema.nitumie email yako kwenye namba hii 0654-405727 nitakutumia form ya kujiunga .
asante
 
 
mwenz wa kwanza kuna intake nyingne so kama utakuwa na nafasi fanya usajiri mapema.nitumie email yako kwenye namba hii 0654-405727 nitakutumia form ya kujiunga .
asante
asante mkuu, nitakuchek.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…