dsat technology
Member
- Jun 1, 2016
- 57
- 11
- Thread starter
-
- #41
mkuu yan kwa mautundu utundu ya hizi vitu gharama zako zipo juu aiseee..
Hata Mimi naomba kujua elimu hii unapatikana wapi
dsat technology kaanzisha uzi, twaleeb akauingilia na kuuvuruga kuwa yeye anaweza kutoa Elimu bure.
Sasa unakuja na hoja kuwa wadau wanakushauri eti mafunzo uyatoe kwa ada kidogo. SIAMINI.
mkuu yan kwa mautundu utundu ya hizi vitu gharama zako zipo juu aiseee..
ndugu tujaribu kuwa wakweli dish la azam ama dstv kufunga ni 20000-30000 na ivi ss kazi zimekua adimu kwa ajili mafundi wamekuwa wengi ss utafunga madishi mangapi ili uweze kurudisha io helawadau hawajui tuu lakini hiyo ni cheapest ada,maana dsat guarantees Trainee atayetoka pale kwenye upande wa satellite kazi tatu amesharudisha ada yake hizo zingne nifaida maana kuna kaz kibao .na upande wa cctv camera hiyo bei ni bei ya kununulia camera moja tuu. so mm nashauli watu waamke maana tunakokwenda hivi vitu vitakuwa marketable.
Kwako ni wapi mkuuanaehitaji aje kwangu vyote ivyo utajua bure
kigamboniKwako ni wapi mkuu
kwa hiyo mkuu hizo kazi unazosema zipo kibao mtu akimalza mnampa kazi ili arudishe pesa yake?! kama ni hivyo kwa nn msikubaliane mumpe kwanza train mtu halaf mkubaliane mkubaliane mumpe afanye hizo kazi ili awalipe?! mi kwa uzoefu wangu hizi kazi sio nyingi kiivyo na pia mafundi ni weng ndo maana kuna haja ya kumuona mr. twaleeb aliyepewa bure na kutoa burewadau hawajui tuu lakini hiyo ni cheapest ada,maana dsat guarantees Trainee atayetoka pale kwenye upande wa satellite kazi tatu amesharudisha ada yake hizo zingne nifaida maana kuna kaz kibao .na upande wa cctv camera hiyo bei ni bei ya kununulia camera moja tuu. so mm nashauli watu waamke maana tunakokwenda hivi vitu vitakuwa marketable.
kwa hiyo mkuu hizo kazi unazosema zipo kibao mtu akimalza mnampa kazi ili arudishe pesa yake?! kama ni hivyo kwa nn msikubaliane mumpe kwanza train mtu halaf mkubaliane mkubaliane mumpe afanye hizo kazi ili awalipe?! mi kwa uzoefu wangu hizi kazi sio nyingi kiivyo na pia mafundi ni weng ndo maana kuna haja ya kumuona mr. twaleeb aliyepewa bure na kutoa bure
Hello guys can you help me power vu software for wiztech 8020
Nimetafuta nimekosa mkuu unawezanisaidia link na breakpoint ni nningia google itafute ila hakikisha wakati wa kudownload kusiwe na breakpoint
ndugu yng nitafute kwenye namba yng nikufahamishe jinsi ya kuipataNimetafuta nimekosa mkuu unawezanisaidia link na breakpoint ni nn
ndugu yng nitafute kwenye namba yng nikufahamishe jinsi ya kuipataNimetafuta nimekosa mkuu unawezanisaidia link na breakpoint ni nn
Mkuu nakutafuta kwa no yko sikupatindugu yng nitafute kwenye namba yng nikufahamishe jinsi ya kuipata