Mi sina vigezo labda nikauchongeshe mwanya.....umejibu vyema kijana...
je mada inamfiti nan zaid???fake au wa kweli??
na je ww ni beberu kama mm??
teheee..
Beberu namjua ila mada ndio sijaelewa, imekaa ki methali methali...
ukiamua kumchukua beberu na ukamvalisha uhusika wa mtu...na ikaleta maana poa..
anasema anao...labda atuthibitishie kwako...Bagah hebu longa na Mirhea tuone ubeberu wako...Kwa hiyo wewe unao??
Hahahaa Erick acha hizo. Ataweza?? Anatakiwa ajipange sio eti aje na gx100 na tembo card master card,lol!!!anasema anao...labda atuthibitishie kwako...Bagah hebu longa na Mirhea tuone ubeberu wako...
Hahahaaaaaaa eti ye mwanya tu ndo mambo yote kwa kuwa Beberu Mbuzi linakubaliwaga bila Tembocard master card wala gx100Hahahaa Erick acha hizo. Ataweza?? Anatakiwa ajipange sio eti aje na gx100 na tembo card master card,lol!!!
co makusudi mupenzi...
jf ndo imenishape ivo mama...
haukawii kuona MOVED!
Etii eeeh!!beberu haitaji hayo yote...
hizo ni nyenzo kwa wasio na madini mdomoni...
mm utanisubiri kituo cha mabasi...
Teh pm zote ziko blocked endeleeni hapahapa tuone ubeberu km kweli upondio ivo atii...au tujaribu??
km vp tuhamie PM
Yan pass haina longolongo....teherick bana...unatoa pass ilionyooka aise...
nisipofunga utanilaum sana aise