Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
Kama mchwaaaHuyo mbususu anaonekana hana huruma kabisa 🤣🤣🤣
Kama mchwa basi kibubu chako kiko hatarini, maana hao hawajui mzaha wakianza kazi 😂Kama mchwaaa
Rafiki acha kabisa 🤔 nisikitikieKama mchwa basi kibubu chako kiko hatarini, maana hao hawajui mzaha wakianza kazi 😂
Nitakuletea tranka hilo hakuna kitu itapenya hapoRafiki acha kabisa 🤔 nisikitikie
Hii road mbna ya kutoka town kwenda matimira, vumbi tupuu. Lol
Sema kweli nije nilifwate bcNitakuletea tranka hilo hakuna kitu itapenya hapo
Ukirudi kutoka mbugani utalifata 😆Sema kweli nije nilifwate bc
Karibu Yayeda Chini nakwambia ..🥹🥹
Tuletee na zile view za pale juu kwa mkuu kuangalia kwa laiboni. Au uwanja wa Range 🥹Pazuri ni kukosa pesa tu za kutembea vivutio
Ahaha we nipe location mapemaUkirudi kutoka mbugani utalifata 😆
Usiku uhuu utoana kesho nakuja nazo km. ZoteTuletee na zile view za pale juu kwa mkuu kuangalia kwa laiboni. Au uwanja wa Range 🥹
Kesho ifike haraka jamani. Nikamringishie mtu nimerudi🤣🤣🤣🤣Usiku uhuu utoana kesho nakuja nazo km. Zote
Ahahha atajua tu 😂Kesho ifike haraka jamani. Nikamringishie mtu nimerudi🤣🤣🤣🤣
Hahaha !Karibu Yayeda Chini nakwambia ..🥹🥹
Hii ni south Afrika wala sio huku kwetuHii road mbna ya kutoka town kwendamatimira, vumbi tupuu. Lol
Ooh bas sawa.Hii ni south Afrika wala sio huku kwetu
Mbona sikioni kisima Cha chini? Halafu hapo karibu na hanga sioni like la mabati mabati.
Laiboni akeee