Mji wa watu wenye akili, kama unabisha waturuhusu tubadilishane nao. Sisi Wabongo wote tuhamie huko kwa kubeba chochote tutakachoweza kubeba twende nacho huko na wao waje mikono mitupu, kisha tutembeleane baada ya miaka 10 wapi watakuwa wako juu!
hahahahahah imenibidi ncheke looohh wewe
ila winter huwa zinaenda kwa muda wa miezi mitatu minne mpaka mitano..
si mwaka mzima na wana pata spring, autumn, na summer ..