Mimi ni mwafrika sana tu, lakini najiuliza kama Mungu angepanga originaly waafrika ndio waishi huko kwenye sehemu zenye barafu hivyo sijui ingekuwaje, nadhani vizingizio vya kutoendelea vingekuwa vingi kweli kweli.
mmmmhhh haya bwana mimi bado napenda winter sana ...
kwa jinsi tu ilivyo si kila nchi au kila mtu duniani amepata bahati
ya kuona winter barafu kunyesha sana sana twaona tu mvua ya mawe...lolz..
mmhhh nilichokusoma ni wewe tu unaogopa baridi ... Na unapenda
zaidi summer ajili ya ma bikini , sijui volleyball in the beach lolz..
teh teh teh teh sio mbaya kabisa .......i .....
haha, naona wafagilia sana winter .............. mi siiogopi wala nini, tena nina kanuni kuwa hata iwe kali kiasi gani lazima nitoke nje na nizurure kama saa moja hivi nje!!............... kuna watu hawatoki nje hata kwa wiki kadhaa hata msosi hupiga simu wanaletewa............ na shopping ya mambo mengine wanafanya kwenye net na wanaletewa na courier hadi mlangoni......... haha, yaani kuna watu wanaogopa hiyo kitu ni balaa............
hahahahahah lolz
basi hao watu wana matatizo ya akili kwa kweli ...
winter ndio muda wa riadha na kuji tayarisha kwa summer..
summer ikigonga tu wakwanzaa na bikini lolz
sio summer imegonga ndo waanza kuhangaika ,,mmmmhhhh
yap, na raha ya summer ni nguo laini, nyepesi, chache na zinazokupa nafasi ya hewa, ...............kwa kweli watu huwa kama wamepagawa na vinguo............... ukienda kwenye migahawa wakati wa summer unakuta watu wabafakamia ice cream kama wamerukwa akili na na totoz ikigeuka tu kidogo, mali zooooote nje!!.......... n they dont care!!............. huko beach ndo usiseme,.............. aagh, i love summer aisee!!..................
Dar es Salaam at Night
From Above:
mi nimefikiri ni paradiso
hahahaha lolz
haya bana ngoja jikuachie summer yako basi lolz... 😉
Ha ha ha
Tusidanganyike na picha nzuri za winter.
Hapo ni balaa, nasema tena ni balaa na itakuwa -20deg.C hadi-40deg.c
Nashukuru picha imeonyesha hakuna mtu barabarani, kila mtu kajibanza nyumbani ili apate kajoto.
Mimi nimekaa mahali kama hapo na ndo nikajua Tanzania(na Afrika) jamani tumejaliwa na Mungu.Nchi yetu nzuri sana.
Pamoja na ongezeko la layer za nguo, msosi ni lazima uwe wa nguvu sana.
Nyumba nzima lazima ipashwe joto(heating) la sivo hakukaliki, hatimaye gharama za maisha wakati huo zinakuwa juu sana.
Asante Mungu kwa kutupa Tanzania.
Vile vimuli muli vya mwanzo, ni wale jamaa wenye jenereta, sasa wese limekata, yaani kumekuwa totoroooooo. Ndio picha ya pili.hahahahahahahahaahahahaha lohhhhh
we umenichekesha kweli kweli
Santee XP
hahaaa!!................... kama sio juhudi zako nyerere....................... hata mtera inayotutunzia siri kwa miezi miwili tungeipata wapi??...............
ngereja hoyeeee......................., ccm juuuuuuuuu........................... richmonduli/dowans/symion, hoyeee..................
Vile vimuli muli vya mwanzo, ni wale jamaa wenye jenereta, sasa wese limekata, yaani kumekuwa totoroooooo. Ndio picha ya pili.
Ha ha ha
Tusidanganyike na picha nzuri za winter.
Hapo ni balaa, nasema tena ni balaa na itakuwa -20deg.C hadi-40deg.c
Nashukuru picha imeonyesha hakuna mtu barabarani, kila mtu kajibanza nyumbani ili apate kajoto.
Mimi nimekaa mahali kama hapo na ndo nikajua Tanzania(na Afrika) jamani tumejaliwa na Mungu.Nchi yetu nzuri sana.
Pamoja na ongezeko la layer za nguo, msosi ni lazima uwe wa nguvu sana.
Nyumba nzima lazima ipashwe joto(heating) la sivo hakukaliki, hatimaye gharama za maisha wakati huo zinakuwa juu sana.
Mbaya zaidi ni giza la mchana, jua linatoka kwa masaa sita tu!Ukiwa na roho ndogo unatamani kurudi kwenu.
Asante Mungu kwa kutupa Tanzania.
ur welcome afrod........... summer is good, and you'll like it................. n everybody will like you...............your avatar says it all..............
hata me nakuunga mkono, ningekuwa naishi hapo nahic uvivu wa kuoga ungenizidiaKila sehemu ina raha yake dear Binafsi napenda sana joto la Dar.. 🙂