mama anatafuta umaarufu kwa moshi na vumbi
.........na katika hili CCM ni KOBE!!!Kobe huwa hajivui gamba bali ni nyoka.
Ili ndio tatizo kubwa la CCM wakiona mtu yupo kwa maslahi ya taifa wanasema anatafuta umaarufu. Na wasiwasi wao mkubwa ni kwamba waajili wao wakishavutiwa na mpigania haki basi hawana chao!!
Kobe huwa hajivui gamba bali ni nyoka.
.........na katika hili CCM ni KOBE!!!
Huyu ni opportunist tu.
Pamoja na suala la bi huyu kufichua maovu makubwa ya wizara ya nishati na madini mbele ya jamii ambayo imepelekea kusimamishwa kwa katibu mkuu wake na shinikizo la kujiuzuru jwa waziri na naibu husika, je hili si kosa kwake yeye bi shelukindo kumiliki nyara za selikari kinyume talatibu zinavyntaka... Je sheria inasemaje kuhusu hili, au kwakua ni mmoja wa wanamtandao.!!! Vp kama moja wa member wa upinzani ndo amgekua na nyara hizo.!??
Hamna lolote hapo. Kajiandikia mwenyewe ili apate watu kwenye maandamano yake na Lowassa.
Hiyo habari ya Bahasha hata Mnyika alikuwa nayo kitamo ila yeye alipata barua tu na kusoma ambacho tulishasikia.
Mkutano wenyewe naambiwa kuna uwezekano mkubwa Lowassa akawa mgeni RASMI. Mtu aliyesaidia kuleta RICHMONDULI badala ya kuleta umeme wa kuaminika na leo ni giza.
HATUWAAMINI MAGAMBA WOOTE HAWA. Inabidi aturidhishe vya kutosha kuwa kweli kabadilika.