Safi sana. Mama machachari sana huyu sio kama nyumba ndogo ya Seif Khatibu kazi kujikomboa tu.
Ni katika jimbo la Kilindi.
Shelukindo apata kura 12,040 dhidi ya kura 2,939 za Kigoda.
Hongera sana Beatrice Shelukindo.....kila la heri
Mtu na mkewe. Angalau CCM sasa wameanza kuona umuhimu wa kupunguza hizi familia/ndugu kwenye siasa. Mzee Shelukindo kakosa, mama kapata. Aisha Kigoda kakosa, kaka yake, Abdallah Kigoda kapata. Mzee Malecela kakosa, mkewe, Anna Kilango kapata. Samwel Sitta kapata, mkewe Magreth atakosa kwa tuhuma za rushwa ingawa yeye alikuwa anakwenda "kumwona mgonjwa saa 7.30 usiku kwenye nyumba ya kulala wageni".Hivi hawa William Shelukindo na Beatrice ni ndugu?
Ha ha haaaaaaa hii nimeipenda 'kumwona mgonjwa saa 7.30 usiku nyumba ya kulala wageni" Ngoja nikugongee senks! LolMtu na mkewe. Angalau CCM sasa wameanza kuona umuhimu wa kupunguza hizi familia/ndugu kwenye siasa. Mzee Shelukindo kakosa, mama kapata. Aisha Kigoda kakosa, kaka yake, Abdallah Kigoda kapata. Mzee Malecela kakosa, mkewe, Anna Kilango kapata. Samwel Sitta kapata, mkewe Magreth atakosa kwa tuhuma za rushwa ingawa yeye alikuwa anakwenda "kumwona mgonjwa saa 7.30 usiku kwenye nyumba ya kulala wageni".
Mtu na mkewe. Angalau CCM sasa wameanza kuona umuhimu wa kupunguza hizi familia/ndugu kwenye siasa. Mzee Shelukindo kakosa, mama kapata. Aisha Kigoda kakosa, kaka yake, Abdallah Kigoda kapata. Mzee Malecela kakosa, mkewe, Anna Kilango kapata. Samwel Sitta kapata, mkewe Magreth atakosa kwa tuhuma za rushwa ingawa yeye alikuwa anakwenda "kumwona mgonjwa saa 7.30 usiku kwenye nyumba ya kulala wageni".