umecharukia maandiko usiyoyajua!!!!!!!!!!........... Mungu angekuwa anataka watu wawe smart, nadhani Yesu angekuwa "bishoo" kuliko wote na hata msalabani angepanda na suti.................. jifunze kwanza umjue Mungu na tabia zake kabla hujaanza kuhubiri................ rejea tena mara nyingi sana imeandikwa kuwa mavazi yazunguzwayo sio ya nje wala vidani vya dhahabu, bali moyo safi uliopondeka, ndio ambao Bwana hataudharau.................