Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides


kosa la kitoto = "kosa ya chiku" teh teh teh... mbavu zangu
 

Naam mama yetu, kwa kweli yule aliezua swala la sampling, sijui methodology katuchekesha sana, labda hajamsoma huyo Kothari aliyemnunua kwa ajili hiyo vizuri, au alitaka labda Al A'lama Mohamed Said afanye ma analysis kwa ma STATA, SPSS alete ma regression models mi chi squares kwenye Historical Research. Kothari anatwambia "Historical research is thatwhich utilizes historical sources like documents, remains, etc. to study events or ideas ofthe past, including the philosophy of persons and groups at any remote point of time". Mostly ni kama Library Research ambapo wakaa zako chini kuchambua Recording of notes, Content analysis, Tape and Film listening. Na kwa hayo nina Uhakika kuwa Sheikh Mohammed Said kayafanya sana kama Reference zake zinavyobainisha. Data presentation ambayo nafikiri mwanahistoria anaweza kuifanya ku illustrate narration yake ni kwa kutumia frequency distribution tables with some percentages, maybe na baadhi ya charts (ila si kwa hypothetical data. Historical premises and inferences are built and made from concrete facts na si data zisizo na uhakika). Kwa kumrudisha Shule ndugu yetu yule, huyu hapa Kothari
 
Last edited by a moderator:
Mojamed Said njoo hapa uthibitishie vijana kuwa takwimu si zako, zimebuniwa. Nakuonya ukijaribu kupindisha ukweli nachukua iliyobaki, maana hadi sasa ni surual mkononi!

Mbona nguruvi3 unapata tabu sana! unafunga banda farasi wameshatoka zamaaani.

Unanchekesha! - by faizafoxy ( Madrasa product)
 
Watu wanafukia huu uozo! Mohamed Said anajua kuingia chuko kikuu ni sawa na kupanda basi

Mohamed anasema eti idadi ya wanafunzi ilitakiwa iwe reflected katika sekondari na vyuo.

Huyu hajiulizi, wangapi waliandikishwa shule, wangapi walihudhuria, wangapi walipata mafunzo bora, wangapi walihitimu na wangapi waliachia njiani, au walimaliza tu kwa idadi.

Haya ni maswali very basic ambayo mtafiti wa kweli na siyo liar, alipaswa kujiuliza.
Mohamed akachukua data nyingine kutoka katika vigazeti akasema ni takwimu

Halafu hakuna analysis yoyote kuhusu hizo data mbili, akafikia conclusion

Unajua kuna jambo watu hawajui, hizi kazi za ubabaishaji na upotoshaji zinapoteza jamii na taifa kwa ujumla.

Leo wapo wanaoamini uvundo huu na masikini wameacha kujishughulisha wakijua Mohamed Said kawaambia ukweli

Tusimame pamoja tukartae wababishaji kama hawa.

Hizi data hata Fom6 hapaswi kuzifanyia kazi.

Hizi si data maana hata mwenyewe hawezi kuja hapa kutetea, amekimbia anajificha! anajua alichoandika ni Urongo

Mohamed Omba radhi kwa upotoshaji huu wa kizazi, omba radhi jamii ya wasomi kwa dhalili hii

Mimi naongea nawe, kwasababu ulipokuwa mtoni nilikuonya usioge na watoto, umeniita nimekuja !

Njoo hapa utetee uongo wako mweneywe. Mtu mzima unatutupia makapi ukidhani sote ni wapuuzi wa kumeza!

Njoo japa usikimbie
 

Amma kwa hakika umeniacha hoi kwa kucheka, unajijibu mwenyewe post yako?

Source: Dar es Salaam City Council, Department of Education.

Ndute kaingia mitini kabaki mbwambwambwa na solo show.
 
Anayepaswa kuja kusema ni kweli au si kweli ni Mohamed Said

Mimi naongea naye sasa maana nilimwambia atoke mtoni, watoto wanachafua maji hatatakata, alichokifanya ni matusi akiwa na vijana. Nimekuja hapa amekimbia maana data zake mwenyewe anaona haya! RTulimwambia miaka 3 iliyopita kuwa uongo ni jambo baya sana.

Nilichukua kila hadhari kumwambia, ya habib hili si jema. Tukamweleza takwimu zinakuwaje, lakini Mohamed haelewei.

Fikiria mtu anasema TAA ilianzishwa na Sykes! Tulimktaza kiutu uzima lakini muongo haachi asili, kila akirudi anakuja na uongo ule ule. Sasa nipo hapa hakika nitamwaga data zake! naangalia makabrasha yangu, moja limeliwa na panya lakini linasomeka

Muulize Mohamed kama data si zake!
 
Mohamed njoo utetee data zako, usisubiri vijana wachafue uzi, mimi naongee na wewe!

Huwezi kunialika halafu ukaniacha sebuleni ukiwa umejificha...

Njoo ueleze, kisayansi unaweza kutumia data za Daily news, habari leo, uwazi m risasi mchanganyiko kuandika paper ya maana

Kuja hapa wakenya wanasema, na nitafumua zaidi ukiendelea kujificha.

Unafahamu wazi nina hazina ya maandishi yako! you know that.
 

Ndio shida yenu, sasa hapa umeandika nini?, Historical Research ndio mdudu gani? Au ulimaanisha kufanya research kwa kutumia Historical method?, Unasema Historical research ni Library Research? Haya madudu peleka dustbin, kajisomee zaidi halafu urudi hapa. Na huyo Kothari wako.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi ngoja nikufundushe siyo nkufundishe.

Siku ingine andika Dictionary siyo Dikshenari.

Kwi kwi kwi teh teh teh
 
Last edited by a moderator:

Nikikusoma nazidi kucheka, ohh Punjab Singh, bhaijan jii, please come and advice our Mr. Nguruvi3 in Kiswahili where to find the "Panya Bukus" who ate his kabrashas. He found neither the bukus nor the kabrashas yet.
 
Sheikh Ilunga anawasuta toka kaburini

 
Last edited by a moderator:
Weka link Prof Nguruvi3.

Huu uzi hauwezi kuchafuka tuwasaidie Mods ku report. Unashindwa nini kuweka link.

Au makabrasha yameliwa na panya buku.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi ngoja nikufundushe siyo nkufundishe.

Siku ingine andika Dictionary siyo Dikshenari.

Kwi kwi kwi teh teh teh

Huyo GAUTAMA kumuombea kote hasadifiki? kumbe mwenyewe anayapenda.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi ngoja nikufundushe siyo nkufundishe.

Siku ingine andika Dictionary siyo Dikshenari.

Kwi kwi kwi teh teh teh

Teh teh Mkuu Ritz kuna mnakasha mwingine umeanzishwa huko upande wa Pili, naomba FF akupe taarifa, Mungu akijaalia tukutane huko, Msomi wenu kaandika Lugaro fort, hivi hii unaijua? Nitakufunza
 
Last edited by a moderator:
Weka link Prof Nguruvi3.

Huu uzi hauwezi kuchafuka tuwasaidie Mods ku report. Unashindwa nini kuweka link.

Au makabrasha yameliwa na panya buku.
Yamenyofolewa kidogo lakini yanasomeka.

Mohamed Said njoo uthibitishe kuwa data na maandishi ninayonukuu si yako.

Mimi naongea nawe, vijana waache wachezee matope, ni vijana hao tuwavumilie
 
Nikikusoma nazidi kucheka, ohh Punjab Singh, bhaijan jii, please come and advice our Mr. Nguruvi3 in Kiswahili where to find the "Panya Bukus" who ate his kabrashas. He has not yet found neither the bukus nor the kabrashas.
[/QUOTE] Baba yake Abdul ni Klesit. Yeye alikuwa ni sehemu ya waamzilishi, si mwanzilishi pekee. Alikuwa katibu mkuu, akiwa na akina C.Matola. Hakuanzisha chama peke yake


Njoo uweke mambo sawa Mohamed Said, maana vijana ''wakirusha matope sisi tunatandika bakora''
 
Yamenyofolewa kidogo lakini yanasomeka.

Mohamed Said njoo uthibitishe kuwa data na maandishi ninayonukuu si yako.

Mimi naongea nawe, vijana waache wachezee matope, ni vijana hao tuwavumilie

wacha nikae kwenye sofa na popcorn zangu nikushushia na Coke Le mutuz nione misuli inavyoanguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…