Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Wanaukumbi naomba msaada wenu mnisaidie kuna ili neno "Dikshenari" ni nini ni lugha gani.

Mimi najua tu neno "Dictionary"


Kwi kwi kwi kwi teh teh teh
 
Sasa wewe bora ungekaa kimya tu unashindwa kuandika Dictionary unaandika Dikshenari halafu unajifia unajua kuandika kiingereza.

Hivi huko shuleni mlikuwa mnakwenda kusoma ujinga.

Haya nipe maana ya neno Dikshenari au Prof ulitaka kuandika Dictionary ukashindwa kiswahili ni kamusi hii Dikshenari umeipata wapi Prof.
 
huna haja ya kutafuta majibu la hili, kihistoria watu wengi tanzania walikuwa na majina ya kiisilamu au ya lugha za asili, kuvaa barakhashia . na hili ndiyo kosa ya jumuia ya kiisilamu kuamini wale ni waisilamu, wale walikuwa wapagani, watu walioona hiyo ni miisionaries, nao wakawa wanafungua shule, makanisa na hospitali kwenye "predominantly" muslim areas, kama bagamoyo, kimanzichana, lindi mtwara , singida etc , swali la miaka ya zamani ilikuwa "jamani hawa watu wanafuata nini huku" miaka ikaenda na makanisa yanajaa, this is to the extent ya population growth ya wakristo kwenye assumed muslim areas ni kubwa. Leo kwa mfano pentecostal church temeke district alone wana makanisa in excess ya 1000, hii ni dini ya very recent. hii ni kwa ile mantiki usimuone mtu anaitwa ali , ukafikiri huyu swala tano, wengi walikuwa hawana didni na wamevunwa wote,
 
Matola una kumbukumbu finyu, jikumbushe chini hapo, tena ilikuwa ni mada ya Al Alama Mohamed Said ukasema the opposite ya unachodai sasa hivi.

English please.

"Damned if you do, damned if you dont" - Eleanor Roosevelt.

cc Punjab Singh
 
Extremist ni boko haram, Islamic state , al Shabab , al queda, sasa Sijui na uamsho Kama kimekuwa categories hivyo ?? Au kipo managed
 

Oooh "Professor" Hirji kamsifu namna hiyo Al Alama Mohamed Said, raha sana basi.

ex·treme
ikˈstrēm/
adjective
adjective: extreme
1.
reaching a high or the highest degree; very great.
"extreme cold"
[TABLE="class: vk_tbl vk_gy"]
[TR]
[TD="class: lr_dct_nyms_ttl"]synonyms:[/TD]
[TD]utmost, very great, greatest, greatest possible, maximum, maximal, highest, supreme, great, acute, enormous, severe, high, exceptional, extraordinary

Chanzo: https://www.google.com/search?q=define+extreme&ie=utf-8&oe=utf-8


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Baada ya Prof. wa ukweli Karim Hirji kuwashika pabaya ndio sasa unaona haja ya kujishusha!


Sisi siku zote ni wakujishusha tu, jisomee:

By FaizaFoxy

Waislam wenzangu nawaomba twende nao taratibu hawa ndugu zetu bila lugha za maudhi, tutafika tu.

Mbona mada ni nzuri sana na kila hoja tunayoipanguwa wanakuwa hawana majibu. Mmeona hoja moja ndogo jana ilivyowachachafya mpaka wamebadili post nzima, mpaka "Professor" kaingiwa na kiwewe, kila anavyoomba msamaha anaona bado, post zake zote tatu za mwanzo (sijuwi kama kuna nyingine) ameomba na kila anavyoomba anaona hajaeleweka.

Hizo ndiyo nguvu za ukweli.

Naomba twendeni kwa maudhui iliyokuwepo hawa wenzetu wanaleta kejeli na tashtiti ili kututoa kwenye hii mada wanajuwa hii ni maji ya shingo kwao.

Nawaomba tulieni, mwacheni mwenye kutukana na atukane sisi tubaki kwenye hoja tu.

Sasa kuna nyingine ambayo niliigusia gusia jana wakajifanya hawaioni, leo kuna mmoja anaitwa Chintu kachokoza, nimempa heshima yake kwa kumpa darsa dogo kwa aliyoleta kama "reality" ya Hirji, Subhanna-Allah, kumbe aliyodhani ndiyo reality ya Hirji hakujuwa kuwa anaumeza mwiba usiomezeka, sasa umemkaa kooni, anajuta kwa nini.

Tumsubiri avute pumzi labda atapata ahueni.

Nawaomba kaka zangu, wadogo zangu, wakubwa zangu, wanangu, tutulie na tusiwe kama wao.

Pole Chintu.
 
Baada ya Prof. wa ukweli Karim Hirji kuwashika pabaya ndio sasa unaona haja ya kujishusha!

Msome hapa Prof Hirji...


Haya ndiyo maneno ya Hirji:

The volume of historic detail in Mohamed Said’s paper, Tanzania: A Country without Heroes, is impressive. Little of this information is known. He makes a persuasive case that numerous individuals who made critical contributions in the anti-colonial struggle in Tanzania are either only partly acknowledged or completely suppressed in the official, popular and even scholarly discourse.


Mnataka Mohamed Said ajibu nini hapo?
 

Kwani Basil Davidson ambae sio Prof wa History, nae amedandia treni kwa mbele?, Ritz ngoja nkufundishe maana umeshindwa kuelewa sasa unatapa tapa, hatuandiki Peper, tunaandika Paper, tena ulirudia kuandika mara mbili, kumaanisha kwamba ulikua hujui, sasa ole wako urudie tena, kwih kwih kwih.
 
Last edited by a moderator:

Hili ndio zao la Madrasa. Ahsante sana Mkuu Punjab Singh. Hebu tupe kile kiswahili chako tucheke.
 

USA has 46 million citizen living below the poverty line. That number is equvalent the entire population of Tanzania and more!
 
Hili ndio zao la Madrasa. Ahsante sana Mkuu Punjab Singh. Hebu tupe kile kiswahili chako tucheke.

Lady FaizaFoxy, sasa taka leta tania ndani ya kazi? Sisi iko kazini hapa! Karim Bhai nafenza tani ndani ya kazi leta Nyang'au ya Kericho ndani Kijiji ya Tanganyika pigana na Germans alafu sema yeye fanya 'kosa ya chiku'!! Hebu fikiri sasa mimi na wewe takubali kweli? Wewe kuona hapo ipo 4 ghosts yeye kaweka badae natumia as hypothesis kufanya criticism kwa Prof. Mohammad Said, sasa yeye fikiria sisi kula chana bateta ya jumbani yake rahisi rahisi si ndio? Pls kumpa salam ile kijana Matola. Yeye taka learn English basi akuje pale Gerezani Sikh Temple yetu tasaidia sisi peleka fanye course moja ile TOEFL.
Pls sicheke sana mimi kujua swahili zaidi kupita kaka yangu Bhipin Bhai.
Asanta sana.
 
Last edited by a moderator:

Ilikuaje Prof Hirji asipate taabu kama Waislamu wengine, ilihali umetueleza mkakati ulikua wa kuwaonea Waislamu??? au yeye alikua Mkristo hapo awali???
 
Mojamed Said njoo hapa uthibitishie vijana kuwa takwimu si zako, zimebuniwa. Nakuonya ukijaribu kupindisha ukweli nachukua iliyobaki, maana hadi sasa ni surual mkononi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…