Beatification of Lowassa starts here

kwa nini asingeenda tu loliondo kwa babu akapata kikombe .. lakini lowasa ukiacha ile kashfa ya ufisadi lowasa ni mtu makini katika uongozi....
..so now he is a born again christian! huyu hana sifa ya utu achilia mbali uongozi, hafai huyu hata kdg, watu wanamuona km kiongozi makini kwa kuangalia zile issue ambazo alizisimamia zikamature, lakini ukweli ni kwamba alikuwa anasimamia issue ambazo ana maslahi nazo, ni mtu wa deal ile mbaya. Dont get twisted, Lowassa ni hatari zaidi ya hatari!
 


Imani tu bwana, hata ukimwamini Babu au Kakobe kwa kiwango hicho, unapona kabisa.

Faith means following God blindly!:cool2:

 

I have nothing to add ...!

This humanbeing doesnt deserve to be the next president of united republic of Tanzania!
 
Amemtabiria kushinda Urais kwa kishindo kwenye uchaguzi wa 2015. (Joking, Lol)
 
Hata mimi naangalia kwa makini hapa kama atapatiwa utabiri kwani yuko kiti chambele kabisa
 
kama tb joshua ankajiita prophet, basi hakuna haja kufikiria mara mbili zaidi ya kujua kuwa jamaa kaenda kuongezea mishe za akina shekh yahaya.
 

Jamani msilete mambo ya kikombe cha babu tena!! Hamna lolote, tusidanganyane. Huko ni kutapata tu
 
Asipotabiriwa leo, kesho wanaendelea! Watakao kuwa na access ya kucheck hiyo kesho, mtujuze!
 
Ibada imekwisha. Picha ya EL akipata upako .....................
 

Attachments

  • EL.JPG
    52.2 KB · Views: 164
Ha ha ha!leo yani watu wanataka kumwona Dr Slaa na the same time wanataka kumwona EL akipokea utabiri.
 
Watanzania wanataka genuine people...usanii au kuwasaidia wahujumu wa taifa dawa yake haipo nchi za mbali. Upo hapa hapa! Tuanze kuwaangalia watanzania kama watu wanaoelewa na wenye mamlaka ya kuamua hatima yao....by the way, kikombe cha babu hakijafanya kazi mpaka kwenda huko Nigeria???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…