Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
sawa mkuu it seem nimekukwaza
Hapana sikwaziki kirahisi hivi ndugu yangu. Haya mambo ya kiimani ni vyema kumuachia Mungu mwenyewe aamue, unaweza sema mtu flani sio mtumishi wa Mungu, alafu kumbe akawa mtumisi wa Mungu, Je? hapo haujapingana na Mungu.
Tuwe makini na kauli zetu, na wala tusifanye mambo kwakua wengine wamefanya, kila mmoja ataondoka kivyake na hatma yake. Huyo mama achana nae, wewe fanya yako
Trust me even though nimeandika bandiko hili sija muhukumu kwa hili,nilichofanya nime nukuu tu na kushare na jukwaa
Sawa, ila ufahamu izo habari si za kweli ni uzushi na usiendeleze huo uzushi.
Tusi suport kitu amabacho si kweli bali tukikemee.
Mimi nafikiri muda huu ungetumia pia kumuombea ndugu Lowasaa mana pressure itakuwa juu sana
Jibu zuri, plan B ni CCK!Kwani uchaguzi ushapita? Kwanini unatafuta miujiza mda huu?
Hii siyo maana ya utabiri,utabiri ni kubashiri just like gambling it can happen or not happen but not a must.In other words its a probability.Ama kweli mganga hajigangi yeye TB alishindwa kutabiri kanisa lake kubomoka na kuua watu lukuki kanisani lol...utabiri maana yake ni kuyataja mambo yatakayotokea kanakwamba yamekwishatokea..sasa kama sio lazima yawe kweli ama yatimie huo sio utabiri tena..ni mawazo binafsi!
Sawa nitamuombea, ila na wewe pia usinisahau katika maombi yako, maana sie sote ni ndugu na chimbuko la mwandamu ni moja. Tusitupane
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
Ushahidi...
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
Ushahidi...
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
Jibu zuri, plan B ni CCK!
Alishasema atakuwa rais iwe ndani ya CCM au nje ya CCM, na hajajiandaa kushindwa.kwaiyo unafikiri alitabiliwa kupata urais kupitia CCK,?
Kweli Lowassa kajifunganyia nguvu kubwa sana kumzunguka. Yani kila mtu anazungumzia sio waliopitishwa, bali ALIEKATWA!! Sasa siasa haina majibu kamili. Kwa nguvu aliyoikusanya, ningelikua ENL ningelitoa hotuba kukubali kushindwa na ningelisihi wafuasi wangu wote waunge mkono atakaeteuliwa.
Hiyo ndio namna bora zaidi ya kukinusuru chama kikongwe (GOP) cha Tanzania. Vinginevyo mpasuko mkuu wa GOP unanukia ukiambatana na harufu ya damu ndani yake. Kwa mpango huo huo wa siasa kutotabirika, basi GOP kwishney na ENL pia kwishney.
ENL ana hasara zaidi hapo. Aepuke hiyo 'tukose wote' situation!! Maslahi yake akiwa ndani ya GOP na kusapoti aliepitishwa yatamea zaidi. Tofauti na hapo, kila mtu anaeza tabiri kinachokuja kutokea mpaka kufikia Oktoba.
Kuna jambo jingine. GOP ilivyo, kwa sasa ENL hana la kufanya. Hadi wamejasirika kumkata, then ameshasetiwa kila aina ya mtego kutokufurukuta. Akamuulize 6 kilichomfanya aanzishe chama na akashindwa kujiunga nacho ingawa ananyanyasika alipo!!
Huko ndio kunyimana uhuru wa habari pale hali inapokuwa mbaya upande fulani