Usimuhusishe Tbjoshua na upumbavu wenu, hajawahi kutoa unabii Kama huo, mambo yenu ya kutunga ndio maana nchi inakuwa na Watu waajabu na wasio na mwelekeo!!!
Mimi kosa langu nini?kuweka habari iliyokwishawekwa?mbona kipindi kile taarifa hizi zinevuma sikuwaona mkipinga iweje leo baada ya haya kutokea?
Ni uongo ndio. Na usitishe uzushi huu kwa kuomba moderator waifute hii thread
Kosa lako ni kusema kitu ambacho si kweli na hauna ushahidi wa ulicho kisema dhidi ya TB Joshua.
Unamjua alie muweka pale Nabii TB Joshu?
Huko ndio kunyimana uhuru wa habari pale hali inapokuwa mbaya upande fulani
Ni uhuru wa habari, ila wewe unautumia vibaya.
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
Ushahidi...
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
habari hii ipo kila mahali sasa kwann usione na upime na ukabaki na imani yako mkuu?
Mwezi mtukufu mashetani na majini hufungwa.
Sawa, ila mimi nataka wewe uachane na hii habari kwasababu haina manufaa kwako na sio habari ya kweli.
Mi kiukweli nashangaa watu wanavyomtetea uyo tb Joshua na kumfananisha na mungu kitu ambacho mnakosea Sana nafasi ya mungu msimpe binadamu jaman na hata kama alisema kweli basi mungu ameamua kuzihirisha kuwa tb Joshua siyo mungu anakosea pia
Acheni ujinga wabongo kujadili upuuzi ambao hauwasaidiii kwa lolote bora ukafue hata nguo zako saiv au ukafanye mazoezi
labda rais wa wasafi