Beatification of Lowassa starts here

Money money kwanza! Aseme hadharani Richmond > Dowans> Symbion was a deal or shida Uwaziri Mkuu!!??
 
Nakubaliana na suala la kuheshimu haki ya Mtu kuabudu. Hivi ndio kusema Nigeria kwake ndio kanisa la karibu?
 
Yote tisa kumi ni kufanya mema kwa wanadam wenzio siyo unafanya noma kwa watu alafu unasema mimi ninamtukuza Mungu that is nothing maisha ni hapa hapa loh
 
mmmmh TZ makanisa hayana upako! au Mungu kahamia huko?
 
CCM 'walishammaliza', wanamhesabia siku tu!
 
Heri mwenzetu amejua makosa yake na hatimaye Kurudi kundini ,Maana imeandikwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza.

Suala hapa siyo ibada kwa sababu huku kaacha makanisa kibao. Issue hapa huyu bwana urais unampeleka mbio, hata akiambiwa ale kinyesi aupate atafanya hivyo. Hivi anataka kufanya nini na huo urais?
 
Yote tisa kumi ni kufanya mema kwa wanadam wenzio siyo unafanya noma kwa watu alafu unasema mimi ninamtukuza Mungu that is nothing maisha ni hapa hapa loh

Anakumbuka shuka kumshakucha. Kawaonea na kuwaumiza wengi sasa leo ndo anakurupuka kwenda kutubia Nigeria wakati aliowakosea kawaacha hapa nyumbani.
 

vp ameshawatosa askofu wake Laizer na Malasusa.
 
Wanajanvi Mh. E Lowassa ameonekana leo live channel Emmanuel ya dini ya nigeria kwa mchungaji joshua na walinzi wake pia akiombewa ili gamba limpitiea mbali na aweze kugombea urais 2015 kwa tiketi ya ccm.

Nawakilisha.
 
mbona hata mara ya kwanza alienda mkuu na akatabiliwa kuwa ndo Rais wa 2015
 
Mimi nilishangaa kusikia kuwa Emmanuel TV imetoa rambirambi kwa JK badala ya Shein kutokana na ajali ya MV spice islander kumbe ni moja ya kumfariji muumini wao EL
 
Wanajanvi Mh. E Lowassa ameonekana leo live channel Emmanuel ya dini ya nigeria kwa mchungaji joshua na walinzi wake pia akiombewa ili gamba limpitiea mbali na aweze kugombea urais 2015 kwa tiketi ya ccm.

Nawakilisha.

Kwa hiyo jamaa anaenda kusali kila Jumapili huko Nigeria.....?
 
teh teh teh haya bhana EL ana swaga huyo kaja na staili mpya
 
Lowasa inajulikana wazi kwamba ndie aliyekuwa mwenye kiti wa mtandao uliomlete Jk madarakani. Ni nini kimetokea sasa hivi Nec ya jk inataka kumvua gamba? Siamini kama kuna mtu angeliweza kumsogelea Lowasa bila baraka za Jk, sasa wale waliomsogelea bila kujirizisha kama watapewa kinga kinyume na mapigo ya Lowasa ndio hao sasa tunaona wakihang kama kina Nape, mwakyembe and co. Ikiwa jk ataghairi zoezi la kujivua gamba sidhani kama usalama wa kina Nape utakuwa salama zaidi ya kwamba ndio watakuwa wameelekezwa kibra rasmi na machinjio yao yatakuwa makuu.
.
 
Atautafuta sana urais but hatapata.
Makanisa kibao Tanzania anafuata nguvu gani huko?

Kuna misemeo yetu hapa Nyumbani Tanzania kuwa ukiona Mtu anahama kutoka kanisa ama dhehebu moja kwenda jingine basi kuna tatizo hapo, hakika tatizo lipo, na hiyo picha kuwa kanisa lake lina imani haba mpaka kufuata kanisa jingine,hilo pia ni matusi kwa viongozi wake wa dini kuwa HAWANA UWEZO WA KUIMALISHA IMANI YAKE JUU YA MUNGU HIVYO AMETAFUTA KANISA JINGINE LENYE UWEZO HUO.Ingekuwa ameenda kwenye kanisa lake lile lile hilo alina shaka lakini lkwa kuingia kanisa lenye jina na mfumo tofauti tofauti na kanisa lililomlea toka utoto au ujana wake au utu uzima wake there must be something wrong somewhere.

Sijui utumia dhehebu gani hapa Nchini lakini nina hakika Tanzania hatuna kanisa [ministry] ya Mchungaji huyo Joshua, hivyo kwa Tanzania ni dhehebu jipya.

Hapo kwenye red "Mambo badooo mambo badooo mambo badooo magoma mototo ya ......" [chores ya wimbo mmoja wa marehemu Dk Remmy Ongara RIP]
 

Mkuu inaonekana unaandika usichokijua, ama unaandika kwa ushabiki tu, pengine huna uhakika unaandika nini! Urais hautafutwi kwa kusali ama kuokoka ama kutubu madhambi yako, urais kwa Tanzania ni ufisadi uliopitiliza na kuiba kura kwa kwenda mbele, huyo mkeo hizo ulcers sio kwamba kaombewa kapona no way, ni kwamba anakula kwa wakati na hakai na njaa, na zaidi sana hawazi tena jinsi unavyomsaliti kila mara, mimi huwa ananiambia sana...
 
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?

Ushahidi...

Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…