Beatification of Lowassa starts here

Beatification of Lowassa starts here

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Posts
10,678
Reaction score
4,377
kwa wale wenye access na emmanuel tv, chekini mh LOWASSA yupo live anapata neno la mungu kwa prophet TB JOSHUA.

Lowassa-rais.jpg
 
Ni kweli hata mimi nimemuona.

Tena mwanangu mdogo ndio alikuwa anaangalia ghafla kaniita "baba njoo umuone Lowasa yuko emmanuel tv. Yuko Nigeria" nilidhani utani lakini baada ya muda na mie nikamuona.

Naona kenda kupata baraka na kuombewa ili atubu dhambi za ufisadi na kuombewa ili asifukuzwe ccm.

Wacha apate neno la uzima uenda akabadilika rohoni na nafsini pia. Natamani kumuona na Kikwete anakwenda kule maana ni mtambo wa tiba ya rohoni!


TB Joshua tafadhali tusaidie watanzania. Muongoze sala ya toba jamaa yetu huyo.
 
Atautafuta sana urais but hatapata.
Makanisa kibao Tanzania anafuata nguvu gani huko?
 
Jaman Wazir aliyejiuzuru Mzee Edward Lowassa kumbe ni kweli yuko kwa Phophet Joshua leo akiabudu , tena amepata seat ya mbele kabisa. Hapa ninapoandika naangalia ibada live emmanuel tv. Ntawajuza mtume akianza maombi kama atamtabiria .. Ntawajuza zaid.
 
Angalia picha hii.
 

Attachments

  • P1040390.JPG
    P1040390.JPG
    47.7 KB · Views: 213
that place is awesome my wife was there last sunday, wadau nawaambieni ile ni arena of liberty hakuna kinachoshindikana pale kwa jina la YESU, tayari nna testimony kibao za kushea. wife alikuwa na vidonda vya tumbo vinamkamata mpaka anapanda dirishani low pressure, ile kukanyaga tu pale hakusikia chochote mpaka wali wa ki nigeria wenye pilipili kibao alikuwa anakula sasa hivi hakuna cha low pressure wala ulcers kwishney. glory be to lord JESUS
 
Waoh, l am on the road l wish ningekuwa home! Atakuwa anataka kutabiriwa kama atapata uraisi!
 
Ni kweli hata mimi nimemuona. Tena mwanangu mdogo ndio alikuwa anaangalia ghafla kaniita "baba njoo umuone Lowasa yuko emmanuel tv. Yuko Nigeria" nilidhani utani lakini baada ya muda na mie nikamuona.Naona kenda kupata baraka na kuombewa ili atubu dhambi za ufisadi na kuombewa ili asifukuzwe ccm.Wacha apate neno la uzima uenda akabadilika rohoni na nafsini pia. Natamani kumuona na Kikwete anakwenda kule maana ni mtambo wa tiba ya rohoni!TB Joshua tafadhali tusaidie watanzania. Muongoze sala ya toba jamaa yetu huyo.
Ebu nieleweshe, dhambi ya Lowasa ni ipi?, naona umetumwa na Sita+Mwakyembe+ ki*****te.
 
naye ni msanii tu Kama akins Getrude Rwakatare na Mwingira ambao wanatumia mazingaombwe ku hapnotize wafuasi wao
 
Huyo jamaa kamwakikishia kwamba yeye ndie next president in 2015,rain or shine!
 
Back
Top Bottom