HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,935
- 102,690
Habari wadau, kuna beach ambayo iko kuanzia Kawe hadi Jangwani, maeneo hayo ni machafu sana, je Halmashauri husika hazioni ni wakati wafanye usafi?
Kama wameshindwa kwanini wasizibinafsishe ili ziwe safi?
Au kwanini ile Service Levy wasiwekeze kiasi kwenye usafi wa hizi Beach haswa nyakati za weekend na sikukuu?