hahah wakuu hebu ngalieni vizuri hiyo ni fake beach!
<br />vipi kuhusu kina cha maji.. ? ni kirefu au kawaida
Sisi hatujafikiaa huko bado....wala hatutakiwi kujifunza lolote hapo....njaa ,umeme hakuna maji hakuna life standard poor...hayo ya nini sisi???wala sio size yetu hata miaka 100 ijayo bado!!!sanaa