Nilijua upo single, ningekupeleka nikuonyeshe beach nzur...Wadau wa JF wakazi wa Dar
Nisaidien jaman, nataka kujua beach gan kwa dar n nzuri kuliko zote, toka nizaliwe nimekua sina interest na kwenda Beach, so nimejikia kutaman sana bahada ya mke wangu kuniomba cku nying kwenda nae beach, nataka nmfanyie suprice J2, nishaurin niende beach gan ili tukahave much fun,
Thanks in advance
Nilijua upo single, ningekupeleka nikuonyeshe beach nzur...
mnhhh kutupeleka hadi tuwe single?
Umeona eeh! Tangulia Pm naja..Haaaaaa, ilo pia wazo, ka vip j2 twende nkapate na ujuz wa beach, afu wife ntamsuprise next tim
hauna msimamo mkuu mchepuko umekudesh tayari umempiga benchi wife wako...
navy beach kwa wajeda..ng'onda beach.mikadi beach na chadibwa zote zipo kigamboninoooo...kama kipato chako kinaruhusu nenda sun rise.kijiji beach..kipepeo..n.k....
nenda beach kidimbwi .........