Beach beach beach beach

Last edited by a moderator:
shostoto snowhite umeona eeeeee??? sitayasahau yale mabawa! tulikuwa tunatishiana tulivyokuwa grade 4 kuwa kuna wanyonya wadamu, lol!
ahhhahahhahha ole wakoupite kule siku ya kufunga shule!af ukute ulikuwa kiranja weee!
 
ahhhahahhahha ole wakoupite kule siku ya kufunga shule!af ukute ulikuwa kiranja weee!
nakwambia una kumbu kumbu acha kabisa!! nilkuwa nafuatwa na baba, mpaka nilivyofika la 6 nakumbuka ndio nikaanza kurudi mwenyewe, mwe mwe mwe!
 
Nipo cacico jamani!
Ndo kusema huwa hamnioni??

Au mmenifuta mioyoni mwenu??
Saweni tu . . .
Kipipi siku hizi mwenzio nashinda jukwaa la wakubwa kupata maujuzi, lol! maana nimeona nitaachika, ila nipo mamito, na huwa nakuchungulia kwa mbaliiiiiii!! mwahhhh my dear uwe na jioni njema, lol!
 
Last edited by a moderator:
nakwambia una kumbu kumbu acha kabisa!! nilkuwa nafuatwa na baba, mpaka nilivyofika la 6 nakumbuka ndio nikaanza kurudi mwenyewe, mwe mwe mwe!

ahahahahhahahhahahhah chezeya mutoto ya LAMBONI njia panda ya KILELENI!
af zamani nilikuwa na akili sana!siku hizi sijui ndo kukua ah!
 
helooooooooooooo my people! i wish to spend at Kunduchi Beach/Msasani Beach
 
ahahahahhahahhahahhah chezeya mutoto ya LAMBONI njia panda ya KILELENI!
af zamani nilikuwa na akili sana!siku hizi sijui ndo kukua ah!

kunduchi beach....waambie na wenzio bana
 
Kipipi siku hizi mwenzio nashinda jukwaa la wakubwa kupata maujuzi, lol! maana nimeona nitaachika, ila nipo mamito, na huwa nakuchungulia kwa mbaliiiiiii!! mwahhhh my dear uwe na jioni njema, lol!

Hiyo yote ni kwa sababu ya kumpagawisha babu Asprin tu??
Hilo jukwaa kwakweli hata sijawahi kuliwazia.
Haya mwaya we kajiimarishe shosti!

Good evening to you too dearest!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…