Kama ni wewe vilee, lolest.
hahahaaaa... cant go even two minutes without think of my family, i cant "kill" any of them like this weak dude... regarding love connect, it is the forum i dont like and hata lingefutwa nisinge-mind, ila wakifuta la wakubwa ntaandamana hadi ikulu
Hivi oline lovers inakuwaje
Inonyesha umeingizwa bongo ni wewe wala usibishe na mkome wanaume mnatafutana online? Hata huruma na wewe sina tena mkome kabisa Wanaume oyeeee wajibga ndo waliwao
Inakuwa kama online friends
Ha ha ha ha, vijana wanasaka ndoa hapa
Wakati wenzao tunasaka tundi tu.
Too much criminal Investigation movies are not good
hahahaaaa... cant go even two minutes without think of my family, i cant "kill" any of them like this weak dude... regarding love connect, it is the forum i dont like and hata lingefutwa nisinge-mind, ila wakifuta la wakubwa ntaandamana hadi ikulu
Yani shida zoooote hizo za kufungua miIDs kibao na kusingizia na kumkana mke tatizo ni kugegeda? au anatafuta nini kingine pengine hapa kuna siri maana haiingii akilini wanawake wote hao wengine wanajiuza huko kanda ya kaskazini na aje hapa jf kutafuta mgegedo.
Hehehehe! Kamanda umesema jukwaa gani likifutwa utaandamani?
Lol umenikumbusha kitu ambacho nina hakika umekisahau.
Heheheheee
Mrembo by Nature sina huruma kwa uzembe wa kujitakia nipate vizuri sawa? Narudia nashangilia kwa ujinga kama huu waume/wanawake wamejazana mitaai yanini uende kuparamiamtu hata humjui? Kisa mtandao? PuuuuwwwuuuuuuDena Amsi, hii comment hata haifanani na wewe.....yeye hajihurumii ila anawaasa wenzake, sasa unaonekana kama unashangilia vileee??hivi hata kama angepatwa na baya ni vizuri kushangilia baya lililompata binadam mwenzako?
Mrembo by Nature sina huruma kwa uzembe wa kujitakia nipate vizuri sawa? Narudia nashangilia kwa ujinga kama huu waume/wanawake wamejazana mitaai yanini uende kuparamiamtu hata humjui? Kisa mtandao? Puuuuwwwuuuuuu
ushatapeliwa???? hebu weka uthibitisho. mi bado siamini kama jf kuna matapeli. lol
Ngoja niandae mchakayo wa kukutapeli.
Afu weeh mwana-ukome, hivi hata valentine flowers kwa ex mama mkwe? Nakuambia subiri dawa yako ikiiva unainywea kwenye sefuria.
Remmy mnakutana kama hivi chitchat au kwenye Pm..Then baadae mnahamia sms/simu au google talk..Hapo itafuatia skype au yahoo video chat..baada ya hapo ni face to face.Na Mungu akipenda ndio hivo tena...Nataka kujua mapenzi yanafanyikaje? Kionlone au live?
Heheheheee
Sio MIMI
Mi nina mtoto mmoja tu
dena nimekumiss ujue!!